Natafuta kazi yoyote halali

Japhar Bakar

New Member
Jul 27, 2020
2
1
Kwajina naitwa Japhar Bakar ninamiaka 23. Elimu yangu ni kidato cha nne tu nilimaliza mwaka 2017. Baada ya kumailiza kidato cha nne nilifanya kazi kwenye duka la baba angu, baada ya hapo nilifanya viwandani mfano kiwanda cha rasta kiliçhopo Mbagala. Ila nimeacha kwasababu kiwanda kilifungiwa na serikali; kwa maana hiyo nipo nyumbani tu sina kazi.

Lengo na madhumuni ya kuandika ujumbe huu ni kutafuta kazi; sijali kazi yoyote mahali popote nitafanya hata niwe house boy nitashukuru sana. Hakika nitafanya kazi kwa bidii sana. Napatikana Dar es Salaam, Kinyerezi.

Kwa mawasiliano zaidi ni 0754303811.

Asanteni sana
 
Unaweza kuuza bidhaa kama izi kwa malipo kadiri unavyouza, kwa bajeti yangu ni malipo ya 150,000 kwa mwezi, ingawaje ukitaka kulipwa kwa wiki pia inawezekana kulingana target tulizowekeana...
Bidhaa yenyewe ni dagaa fresh za kukaanga kutoka Mwanza kuja Dar...Kama zinavyoonekana hapa chini...Ukiamua kuuzia nyumbani, barabarani, shuleni maofcn popote pale ili mradi mauzo yaonekane...
 
Attachments

  • VID_20200801_180920.mp4
    23.6 MB
Unaweza kuuza bidhaa kama izi kwa malipo kadiri unavyouza, kwa bajeti yangu ni malipo ya 150,000 kwa mwezi, ingawaje ukitaka kulipwa kwa wiki pia inawezekana kulingana target tulizowekeana...
Bidhaa yenyewe ni dagaa fresh za kukaanga kutoka Mwanza kuja Dar...Kama zinavyoonekana hapa chini...Ukiamua kuuzia nyumbani, barabarani, shuleni maofcn popote pale ili mradi mauzo yaonekane...
Kwa upambanaji huu ni wazi bado QNET haijakusaidia. Naomba ufafanuzi, ulikwama wapi?
 
Kwajina naitwa Japhar Bakar ninamiaka 23. Elimu yangu ni kidato cha nne tu nilimaliza mwaka 2017. Baada ya kumailiza kidato cha nne nilifanya kazi kwenye duka la baba angu, baada ya hapo nilifanya viwandani mfano kiwanda cha rasta kiliçhopo Mbagala. Ila nimeacha kwasababu kiwanda kilifungiwa na serikali; kwa maana hiyo nipo nyumbani tu sina kazi.

Lengo na madhumuni ya kuandika ujumbe huu ni kutafuta kazi; sijali kazi yoyote mahali popote nitafanya hata niwe house boy nitashukuru sana. Hakika nitafanya kazi kwa bidii sana. Napatikana Dar es Salaam, Kinyerezi.

Kwa mawasiliano zaidi ni 0754303811.

Asanteni sana
Mtafute huyu

Similar Discussions

Back
Top Bottom