Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Changamoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, imekuwa tatizo kubwa sana kwa watumishi hasa walimu kusubiri kupitishiwa malipo mbalimbali katika Idara za Elimu, Afya. Mfano...
0 Reactions
6 Replies
276 Views
Mimi kuna kitu huwa kinanichanganya hususani katika suala la kuomba kazi utaambiwa vigezo ni namba za Nida au kitambulisho cha taifa lakini bado utaambiwa ulete barua mbili za wadhamini.. Sasa...
1 Reactions
9 Replies
345 Views
1.Ni maswali gani yanaulizwa In practical na written.?
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Natumai hamjambo, kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nina uzoefu wa kutosha na hii kazi nilishafanya serena hoteli, kiwandani na airport termonal 3 kupitia gardaworld kwa yeyote atakayeweza...
1 Reactions
22 Replies
456 Views
Anonymous (9713)
Mimi ni muajiriwa wa VETA intake ya mwezi wa 9 Mwaka 2025, tokea nimeajiriwa sasa ni miezi mitano lakini pesa ya kujikimu mimi na wenzangu hatujapata na hatujui ni lini tutaipata. Hii inatupa...
0 Reactions
4 Replies
205 Views
Anonymous
Sisi Walimu wa Ajira Mpya Halmashauri ya wilaya ya CHATO upande wa Sekondari tangu Mwaka 2025 Mwezi wa Pili hatujalipwa pesa ya kujikimu, wenzetu wa Shule ya Msingi walilipwa kiwango kidogo nje ya...
1 Reactions
5 Replies
292 Views
Anonymous
Ajira mpya Afya Makambako TC 2025 hatujapewa pesa ya kujikimu hadi Februari hii 2026, sasa na hao watu wa mikopo wanatusumbua sana.
1 Reactions
5 Replies
226 Views
Anonymous (83ab)
Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika...
2 Reactions
6 Replies
313 Views
Anonymous
Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
1 Reactions
4 Replies
754 Views
Anonymous (67f4)
Hebu na sisi ajira mpya wa Mbeya jiji tupige kelele huenda tukafikiwa kama wa Mwanza, huku kuna ajira mpya ualimu wamefikisha mwaka na wengine tunakaribia kumaliza mwaka wa kwanza kazini ila pesa...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
Anonymous
Kero yangu naipeleka kwa Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training kuanzia mwezi wa 10, 2025. Nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training sasa imepita...
2 Reactions
3 Replies
154 Views
Anonymous
Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao...
3 Reactions
9 Replies
298 Views
Anonymous
Maelekezo mbalimbali za viongozi wetu yanasema mtumishi wa umma anayo haki ya kuhama kufuata mwenza wake lakini ukija kwenye uhalisia hatupati hizo haki kutoka kwa viongozi wetu wa wilaya na...
0 Reactions
6 Replies
337 Views
Habarini ndugu zangu, mm n kijana wa miaka 23 nakaa dar es salaam mabibo, nina leseni ya udereva class D natafuta sehemu ya kujitolea nipate uzoefu zaidi na conntions kama ikiwezekana,, may be una...
2 Reactions
2 Replies
211 Views
Anonymous
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa. Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
1 Reactions
1 Replies
192 Views
Anonymous (3d7d)
Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025. Licha ya changamoto zilizokuwepo...
0 Reactions
1 Replies
138 Views
Anonymous
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini. Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa...
0 Reactions
3 Replies
265 Views
Watu waliofanya kazi Zanzibar na wakamaliza mkataba wanaweza kunielewa na kutoa ushuhuda. Wakati wa kufuatilia mafao unaambiwa uwe umechangia miezi 18 bila hivyo hela hupati hadi ufikishe umri wa...
2 Reactions
2 Replies
194 Views
Anonymous
Mimi ni mfanya kazi kampuni ya HAINAN INTERNATIONAL LTD kwenye mradi wa ujenzi wa bohari ya dawa (MSD) mkoani Geita wilaya ya chato pembezoni mwa hospital ya rufaa ya Kanda Chato. Huu mradi toka...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Mkurugenzi wa Nzega Mji aangaliwe, maana ananyanyasa watumishi na anatumia Madaraka yake vibaya dhidi ya watu wake wa chini. Kuna watumishi kadhaa ambao uwezo wao ni mkubwa wamelazimika kuondoka...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Back
Top Bottom