Heshima yenu wote wana JF.
Mnamo tarehe 22 nov 2024 niliandika uzi wa kuomba kazi au mishe yoyote hapa (nitaweka picha yake ili kurejea kwa atakaehitaji.)
Leo tar 21 feb 2026 nimekuja hapa tena...
Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal
Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5
Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree...
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Tunatambua kuwa sisi ni kada...
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo...
Huyu kiongozi wetu, ZCC wa Kanda ya Ziwa, amekuwa kero kubwa sana kwa wafanyakazi wote wa TFS hapa! Moyo wangu unawaka kwa huzuni na hasira wakati nikiandika hili, kwa sababu juhudi zetu zote za...
Habari za muda huu Wana jamiiforum.
Aisee Kuna ishu ya dogo langu mmoja nashindwa kujua namsaidiaje huyu dogo alipata kazi serikalini mwezi December then akapeleka vyeti kwa ajili ya...
Chuo cha Wesley College kilichopo Mwanza chini ya Kanisa la UMC halijalipa wafanyakazi wake kwa muda mrefu sasa.
Wafanyakazi wa chuo cha Wesley kilichopo Mwanza mlango mmoja kilichopo chini ya...
Habarini wakuu. Mimi ni quality control lab technician nina bsc chemistry pia Nina uzoefu wa mwaka na miezi minne katika steel industry. Natafuta kazi viwandani,migodini kote nafit. Ukinisaidia...
Habari za Majukumu wakubwa kwa wadogo. Nakuja kuomba kwa dhati kabisa kwa mtu menye Bajaji / Pikipiki na unaitaji Dreva makini, Mwerevu na muaminifu Mimi Nina sifa na vigezo, Nina uzoefu wa miaka...
Mimi ni Mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kitengo cha ‘revenue collector’ katika masoko.
Changamoto tunayopata Wafanyakazi wa Mkataba wa Halmashauri ya yetu:
MOJA: Mshahara...
Awe msichana
Ujuzi wa kutumia mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara
Atapewa smartphone
Mwezi mmoja kwa ajili ya kujifunza, atapewa nauli na pesa ya kula tu kwa siku. Mwezi unaifuata...
Mwaka 2025 Mwezi wa 10 Serikali ilitangaza ajira kwa Kada ya Elimu na Afya, ajira zikatolewa kweli na mwisho Waziri kasema zoezi limeshafungwa ilihali kwenye Kada kama Tabibu Daraja la Pili...
Tunalazimika kutoa malalamiko yetu kwa uwazi na kwa msisitizo mkubwa kwa Baraza la Madaktari Tanganyika kuhusiana na ucheleweshwaji usio na maelezo wa matokeo ya Post Internship Examination...
Our NGO is looking for passionate trainers and mentors to support a program empowering visually impaired youth with digital, workplace and entrepreneurship skills.
We are looking for experts in...
Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hatujalipwa pesa ya kujikimu sisi ni Watumishi wapywa wa Mwezi Wa Nane 2025.
Ukifatilia wanasema hawana vifungu vya Kulipa.
Tunateseka sana, tunaomba...
Naomba kuwasilisha suala hili kwa lengo la kupata ufafanuzi kutoka kwa uongozi wa TaESA au mamlaka husika.
Baadhi ya waajiriwa wa muda wa Wakala wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) hatujalipwa...
Heshima kwenu wakuu!
Nahitaji developers watatu (3) wasio na ajira rasmi, kuna kazi watatakiwa kuifanya na baaada ya hapo kutakuwa na ajira rasmi kwao kwaajili ya kukiendesha walichokiunda, ajira...
Je, unahitaji huduma za usafi zenye viwango vya kitaalamu?
Jibu sahihi ni 𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗚𝗿𝗼𝘂𝗽 𝗛𝗼𝗹𝗱𝗶𝗻𝗴𝘀 𝗟𝗶𝗺𝗶𝘁𝗲𝗱 (𝗔𝗺𝗶𝗰𝗮𝗯𝗹𝗲 𝗖𝗹𝗲𝗮𝗻𝗶𝗻𝗴 𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲𝘀) — kampuni iliyosajiliwa kisheria chini ya Sheria za Jamhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.