Tumeajiriwa mwaka 2024 mpaka sasa hutujathibitishwa kazini na afisa utumishi anasema yupo busy na kazi nyingine tunashindwa kufanya mambo mengine na wanatutishia kusitisha ajira zetu
Habari;
Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na...
Ombi kwa Waziri wa Madini kuna kampuni ya uchimbaji dhahabu ipo Musoma Vijijini, Kijiji cha Kwitope inaitwa GDM, haitendi haki kwa sisi wafanyakazi, mshahara ni shida, mikataba ya ujanja, mtu...
Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza...
International Job Positions – Energy & Petroleum Disciplines (2026)
Dear Colleagues and Friends,
Yangtze University School of Petroleum Engineering is pleased to announce international academic...
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata...
Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza
Mawailiano , Whatsapp...
Mimi nikijana Nina umri wa miaka 28 natafuta kazi au kabarua nipo songea vijjini,Mimi sio mvivu nilikuwa na biashara nimekata mtaji, kukuaa Tu Ofsini sina pesa na Mali napoteza Muda
Mkurugenzi wa Ilala kasema uongo. Kwanza watumishi wa mikataba ni robo tatu ya watu wa cheki namba.
Hao watumishi wa mikataba ndio wanaokusanya mapato yote ilala.
Wanalipwa mpaka sasa 340,000...
Bodi ya usajiri inayowasajiri wataalamu wa ukadiriaji majenzi na usanifu majengo wamegoma kutoa vyeti kwa wahitimu wote waliojisajiri kuanzia November 2025.
Kikawaida vyeti hivyo hutolewa kati...
HII NDIO SABABU HUIPATI!
Kama wewe ni mtu unayetafuta ajira serikalini au sekta binafsi, kuna jambo moja muhimu unapaswa kulielewa:
Hata uwe na CV nzuri kiasi gani, kama haijaandaliwa kwa mfumo...
Kuna huu mradi unaitwa TANZANIA DIGITAL PROJECT (DTP) ambao pia kwa ufupi unajulikana kwa jina la Mradi wa ‘Digital Tanzania’ unafadhiliwa na Benki ya Dunia unatekelezwa kwa usimamizi wa Wizara ya...
Habarini wanajukwaa?
Naomba kuuliza eti kama mtu ameajiriwa na serikali(ajira mpya) na hajapewa malipo yake ya mshahara kwa zaidi ya mwezi mmoja, je mtu huyo anaweza kuandika barua ya kusimamisha...
Heshima yenu wote wana JF.
Mnamo tarehe 22 nov 2024 niliandika uzi wa kuomba kazi au mishe yoyote hapa (nitaweka picha yake ili kurejea kwa atakaehitaji.)
Leo tar 21 feb 2026 nimekuja hapa tena...
Kama una bachelor degree na bado huja upload vyeti vyako ajira portal
Basi tafuta chuo cha kati weka cheti chako cha NTA level 5
Hakika utaitwa sana interview ila kama utaweka bachelor degree...
Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho.
Tunatambua kuwa sisi ni kada...
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.