Kazi na ndagu

Kazi na ndagu

embojo

Senior Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
175
Reaction score
41
Aisee kuna ukweli wowote unaousisha kuajiriwa na matumizi ya ushirikina.
Je kuna Mtu ameshapata ajira au kupata Cheo au kulinda ajira yake Kwa matumizi ya ndagu.
Tuturirike Hapa wanajamii
 
Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtapata,bisheni nanyi mtafunguliwa!
 
Huyu Anapigwa Chap
Ngojeni Muone Mambo
 
Back
Top Bottom