Mimi ni kijana, umri miaka 27, ninaeishi dar es salaam, kutokana na changamoto za kutafuta kazi, nimeona kutumia muda wangu na nguvu zangu kuwasaidia watu mbalimbali katika majukumu yao ya kila...
Mfanyakazi wa kuuza duka la viatu, rasta na vitu vingine anahitajika.
Majukumu:
Atauza vitu vya dukani na kupiga mahesabu ya dukani ya kila siku na kuchukua maoni ya wateja na kupendekeza nini...
About the job
We are Looking for TANZANIAN individuals with a diploma or bachelor’s degree in early childhood education and primary school education ONLY!!!! Teachers needed for Pre-School and...
Sisi wengine tunaishi na kusomea huku Zanzibar, ili kwenye hizi ajira za afya wameweka kigezo cha leseni ya Tanganyika hivyo ukiwa na leseni ya Zanzibar system inakukataa, cha ajabu mfumo wao wa...
Wanajamvi naomba kujua mtu wa political science and public administration anaweza kufanya kazi ipi katika sector binafsi? Au yeye ni sekta ya umma tu?
Naomba kuwasilisha
Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki...
Wadau alafu ukiwa unaomba shule mbona haiandiki hii Primary hii Secondary inaandika tu
MFANO
1) Kilaka School 1 position History
2) Kinje School 1 Position Geography
Hii inakuwaje maana wa Arts...
Nimeshuhudia jeshi la Magereza likiomba ajira mpya sio chini ya mara mbili kipindi cha Mwendazake lakini halikupewa hata mmoja na badala yake kuambiwa watumie wafungwa kwa hiyo wafungwa wapewe...
Wakuu, hope mko poa.
Nimekuta mjadala wa vijina walikuwa wanamponda dogo mmoja, eti anajikunja kuandika application latter kali uku, wakimuambia kuwa Tamisemi hawajiangaishagi kusoma application...
Nilikuwa naomba ajira ya ustawi wa jamii sasa sikujua kama ipo afya au ualimu nkachagua ualimu so nataka niedit iwe kwenyw afya nashindwa msaada kwa anayejua.
Habari wadau!
Anahitajika mtaalamu wa video editing,awe anajua kuedit vizuri video na mzoefu, tuma sms kwenye namba hii 0687234549.
Note:awe mkazi wa Daressalaam.
Greetings everybody!
Leo naenda kukufundisha ujuzi wa juu zaidi jinsi utakavyoweza kupata kazi kwa mtu fulani mwenye pesa au hata kampuni kubwa. Hapa inategemea tu confidence yako ipo vipi...
Habari wana jamii,
Naitwa Hamza natokea mkoa wa mwanza nilikuw natafuta kazi ya udereva nina uzoefu mwaka wa sita huu nimefanya kazi ya usafirishaj abiria manyara pia na mwanza nafanya private...
Habari za leo wakuu,kijana wenu naomba yeyote mwenye pikipiki kwa ajili ya bodaboda anipatie nimfanyie kazi kama dereva wake kwa hesabu tutakayokubaliana kwa uaminifu mkubwa kabisa.
Au kama kuna...
Habari zenu wanajf !
Nawasalimu kwa jina la jamhuri !
Barbershop iliyopo maeneo ya mikocheni inatafuta kinyozi mmoja na mdada mmoja kwa ajili ya majukumu ya barbershop. Sifa wawe ni watu...
Wakuu habari za wakati huu,
Nirejee kwenye kichwa cha habari, mimi nimuhitimu wa kidato cha sita na nimepitia mafunzo ya jeshi la kujenga Taifa (JKT) Mujibu wa sheria, kutokana na hali mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.