Baada ya maombi(application) walimu tutaajiriwa lini?

elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Ndugu,Habarini za muda huu.Nina imani nyote humu ni wazzima.Mimi ni mwalimu hivyo tayari nimemaliza kuweka vigezo vyote.Ninamshukuru Mungu.

Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu mara Baada ya maombi(application) kufanyika huwa majina yanatangazwa muda upi kwa ajili ya kazi au kwenda kwennye vituo vya kazi?ASANTENI SANA.
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,620
2,000

Hivi mkuu kwanini hausomi upepo unakoelekea kwa suala la kitaifa kama hili?

Rais, Bunge na mawaziri wanaliongelea sana kila uchao suala lenu, na tena limekaa kisiasa sana.

Hongera kwa kuwa na 'muhu' wa kukamatia chaki kunoa ubongo wa vijana wetu, mwezi wa saba hauwezi kupita hivi hivi lazima ajira isome, mungu tena.
 
shibela

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
363
1,000
Kaa kwa kutulia teacher mwaka wa fedha ukipinduka mambo yatakuwa mukide, usiache kumuomba Mungu wakupangie vituo vya mjinimjini kidogo maana hawachelewi kukutupa sehemu usafiri ni trekta pekee
 
Eng. Zezudu

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,879
2,000
Oya mbona wengine inagoma au sababu sio waalimu , tuna taaluma zingine, mbona kipindi kile ilikubali
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Hivi mkuu kwanini hausomi upepo unakoelekea kwa suala la kitaifa kama hili?

Rais, Bunge na mawaziri wanaliongelea sana kila uchao suala lenu, na tena limekaa kisiasa sana.

Hongera kwa kuwa na 'muhu' wa kukamatia chaki kunoa ubongo wa vijana wetu, mwezi wa saba hauwezi kupita hivi hivi lazima ajira isome, mungu tena.

Asante Ndugu,Tuzidi kuombeana Mungu atasimamia Hili.
 
elyamuia

Senior Member
Aug 21, 2020
113
225
Kaa kwa kutulia teacher mwaka wa fedha ukipinduka mambo yatakuwa mukide, usiache kumuomba Mungu wakupangie vituo vya mjinimjini kidogo maana hawachelewi kukutupa sehemu usafiri ni trekta pekee
Asante Ndugu Kwa kututia Moyo Tunasubiria Kwa hamu Tukalitumikie Taifa Rafiki
 
Ndondocha mkuu

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
1,613
2,000
Ndugu,Habarini za muda huu.Nina imani nyote humu ni wazzima.Mimi ni mwalimu hivyo tayari nimemaliza kuweka vigezo vyote.Ninamshukuru Mungu.

Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu mara Baada ya maombi(application) kufanyika huwa majina yanatangazwa muda upi kwa ajili ya kazi au kwenda kwennye vituo vya kazi?ASANTENI SANA.
mkuu kama ww mwalim wa phys bas fua begi
 
Zay hingi

New Member
May 11, 2021
2
20
Ndugu,Habarini za muda huu.Nina imani nyote humu ni wazzima.Mimi ni mwalimu hivyo tayari nimemaliza kuweka vigezo vyote.Ninamshukuru Mungu.

Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu mara Baada ya maombi(application) kufanyika huwa majina yanatangazwa muda upi kwa ajili ya kazi au kwenda kwennye vituo vya kazi?ASANTENI SANA.
Samahan naomba namba yako nikupigie ili unielekeze vizuri km umemaliza kuapply mana mi nimeshindwa kulog in kabisa na kila nikijaribu kuchange pass word pia inanikatalia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom