therealjoh
Senior Member
- Dec 21, 2016
- 108
- 88
Mimi ni kijana, umri miaka 27, ninaeishi dar es salaam, kutokana na changamoto za kutafuta kazi, nimeona kutumia muda wangu na nguvu zangu kuwasaidia watu mbalimbali katika majukumu yao ya kila siku.
Hii ni kutokana na wengi kutokuwa na muda au kubanwa na kazi/majukumu na kushindwa kufanya baadhi ya majukumu kama; kufanya manunuzi sehemu mbalimbali , usafi, service za vyombo vya moto na huduma nyingine nyingi zinazoendana na hizo.
Kwa hiyo nipo tayari kwa wewe kunituma kwa malipo kidogo tutakayokubaliana. Kwa uaminifu nipo tayari kuweka dhamana vyetu vyangu (birth certificate, education certificate) na barua ya utambulisho kutoka mahala ninapoishi.Kwa mawasiliano zaidi 0688-055-606 au ni (PM).