Nafazi za kazi ya kinyozi na dada wa barbershop

Feb 15, 2013
57
150
Habari zenu wanajf !

Nawasalimu kwa jina la jamhuri !

Barbershop iliyopo maeneo ya mikocheni inatafuta kinyozi mmoja na mdada mmoja kwa ajili ya majukumu ya barbershop. Sifa wawe ni watu wanaojua kazi yao vizuri na wenye uzoefu na barbershop au saloon kubwa.

Kama una vigezo au kuna mtu unamfahamu ana vigezo unaweza kutuma ujumbe wako kwa mhusika ambaye ana nambari 0744898405 . ( tuma sms za kawaida ua WhatsApp tu)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom