Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Nahitataji wadada wawili wachapa kazi wa kuserve chakula kwenye bar. Awe mwenye muonekano maridadi. Awe mzoefu na kazi. Awe mchapa kazi. Kazi ipo Dodoma, wakazi wa Dodoma watapewa kipaumbele...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Salaam, Natafuta kazi yoyote katika fani ya Mathematics, research and statistics. Napatikana muda wote kwa namba hizi: 0712778881 Nina experience ya kutosha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari Wana Jf Mimi ni kijana na umri wa miaka 24, MALE, makazi yangu kwa sasa nipo Kigamboni Dar es Salaam Tanzania. Natafuta Kazi yoyote ikiwemo usaidizi, data entry, customer care...
5 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu, Mimi ni binti ambaye nilikua nimeajiriwa kama mhasibu kwa takribani miaka mitano. Nimejifunza mengi katika nafasi hiyo ya uhasibu kwa sababu kampuni niliyokua naifanyia kazi...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata...
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo nina ndugu yangu anatafuta kazi ya udereva wa magari makubwa ana Leseni pia anauzoefu wa kutosha kwenye hiyo kazi kwa zaidi ya miaka kumi (10) alikuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari ya leo wakuu,mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 29,nna mke na mtoto mmoja, elimu yangu ni kidato cha nne naishi Dar. Nimejitokeza hapa kuomba kazi utakayo ona naweza kufanya kwako...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahitaji mtu nitakae saidiana nae kufanya biashara ya kuuza mazao na hasa zaidi ya mbogamboga na nafaka. Tafadhali ni Pm tu kama unajua unao uwezo wa kuuza hizi products. Kama ni mkazi wa Morogoro...
0 Reactions
2 Replies
913 Views
JOB VACANCIES Click on each below to read more and apply: 1. Secretary/ Archivist- (1 POST) 2. Project Assistant- (1 POST) 3. Project Officer- Social Policies- (1 POST) 4. Project Officer- Private...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI LITA PDF APPLICATION INSTRUCTIONS CLICK HERE TO APPLY
1 Reactions
0 Replies
1K Views
JOB VACANCIES Click below to download PDF FILE: TANGAZO LA KAZI UTUMISHI LITA PDF APPLICATION INSTRUCTIONS CLICK HERE TO APPLY
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kuna tangazo nmelipata limetolewa na jeshi la zimamoto kupitia kamishna mkuu kuhusu mafunzo, je ni tangazo la kweli tuchangamkie fursa au ni matapeli? [emoji116][emoji116][emoji116]
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu habarini za muda huu. Kama mada inavyojieleza haya mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa hali ikoje kwenye suala zima la utoaji wa ajira. Yeyote...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Asante za dhati ziende kwa mwanzilishi wa jamiiforum. Shukrani.
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Afridataexpert is a statistical consulting firm located in Dar es Salaam-Tanzania. Currently, afridataexpert is looking for experts who are motivated by our mission to join our team. If you...
2 Reactions
1 Replies
800 Views
Kwa majina naitwa sabit nganga nimkazi wa kilombero. Fani yangu ni fund Welding. Pia nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye viwanda vikubwa vikiwemo KILOMBERO SUGAR COMPANY. Kwaiyo nilikuwa naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24. Naishi Dar es salaam, natafuta mtu mwenye gari ndogo ambaye anaweza kufanyia biashara ya uber. Uaminifu na juhudi ya kazi hapa ndio mahala...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Anahitajika mtaalamu wa laravel na VueJs kwa ajili ya project maalumu ikiwa na uwezekano wa kazi ya kudumu. Project inahusu kufanya maboresho ya system/website kwa kubadili logic na kuongeza...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zenu Wana jf, kijana wenu fresh from school natafu ajira kwenye angle zifuatazo kiwandani Quality control Production plan and control Project management Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom