ForeverMore
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 812
- 1,942
Anahitajika mtaalamu wa laravel na VueJs kwa ajili ya project maalumu ikiwa na uwezekano wa kazi ya kudumu.
Project inahusu kufanya maboresho ya system/website kwa kubadili logic na kuongeza features kadhaa.
System imetengenezwa kwa kutumia Laravel 7 na VueJs with complex logics, user types and calculations. Changes zitahitaji both backend na frontend.
Naweza kusema project ni ngumu na complex hivyo ni lazima uwe vizuri sana.
Kulingana na uwezo wako, inaweza kukuchukua mwezi mmoja na utafanyia kazi popote ulipo.
Kuna budget ya mpaka Millioni 2.
Karibuni vijana.