Wakuu habarini za muda huu.
Kama mada inavyojieleza haya mashirika ya kimataifa ikiwa ni pamoja na umoja wa Afrika na umoja wa mataifa hali ikoje kwenye suala zima la utoaji wa ajira.
Yeyote mwenye experience na hizi taasisi anaweza kutupa uhalisia wa mchakato kule ndani ikoje maana naona mishahara yao ni minono sana kwa kazi za kuanzia watu wanalipwa hadi 10,000,000 kwa mwezi. Yeyote mwenye uzoefu tunaomba atupe mrejesho.
Asanteni kwa muda wenu.