Madam tajwa hapo juu yahusika sana.
Nimekua sekta binafsi kwa miaka kadhaa sasa, hadi kufikia kupewa madaraka makubwa tu kazini. Natakiwa kwenda kuripoti na hapa niko najiuliza namna gani nzuri...
Anahitajika dada wa kazi.
Mshahara 50,000
Eneo la kazi mabibo-dsm
Kazi kubwa ni kukaa na mtoto wa miaka saba anasoma darasa la kwanza.
Naomba connection
Executive Officers / WATENDAJI at KISARAWE District Council July, 2021. Kisarawe is one of the six districts of the Pwani Region of Tanzania. It is bordered to the East by Dar es Salaam Region, to...
Habari za majukumu ya kila siku ndugu zangu. Poleni na majukumu
Nielekee Kwenye mada. Nina mdogo wangu amefanya usaili katika shirika la LIVING FOUNDATION hapa Dar. Mdogo wangu amepata nafasi ya...
VACANCY ANNOUNCEMENT
KOMU College of Technology and Management is a private organization established and registered under the Business Names Registration Act CAP 213.Currentl the organization...
Wasalaam ndugu zangu.
Mimi ni fundi wa kushona nguo za aina zote, kuanzia sare za shule, vyuo, makampuni na hata nguo za kawaida. naombeni mniunge mkono kwa kunipa connection. Napatikana Iringa...
Habari wakuu,
Natumaini mko poa. Nina ndugu yangu wa karibu, ni mtoto wa baba yangu mkubwa ambae anatafuta kazi ya udereva wa malori au gari za kawaida. Ana Leseni class C1,C2 na C3.
Ana uzoefu...
Job Summary
Position: Research Officer (10 posts)
Reports To: Principal Investigator |Project Leader
Work Station: Dar es Salaam
Institute Overview
Ifakara Health Institute (IHI) is a leading...
Wakuu,
Tuseme ukweli. Kwa sasa ajira zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mbaya zaidi hakuna mpango kazi ulio bayana kwenye mamlaka za nchi maalum kwa ajili ya kutatua tatizo hili.
Ila pamoja na hali...
Habari Wana jf, mm ni kijana jinsia Me naishi DSM natafuta mafundi wa kunishika mkono kwnye tenda mbalimbali za ujenzi.
Naweza safirI mahali popote jijini Dar es Salaam pia nshafanya kazi mbali...
Wana jamvi habari!
Nachelewa sana kuamini kupata kazi itakayoendana na taaluma yangu ya ualimu.
Sasa mwanye connection ya kazi yoyote halali ya kuingiza kipato nipo hapa iwe sehemu yoyite...
Habari wakuu,
Naomba msaada kwa atakaenisaidia kupata kazi upande wa mauzo na masoko(Sales and Marketing) kampuni yoyote Dar es Salaam.
Mimi ni muajiliwa wa kampuni fulani ila kituo changu cha...
Naitwa Emmanuel Harold nipo Morogoro, Nina Diploma ya Animal.Health, Pia nina Degree ya Agriculture Extension. Ninatafuta ajira popote pale. Maana maisha yamebana na ajira imekua changamoto kwa...
Ndugu zangu,
Mambo si mambo naombeni connection ya kazi hata za udereva nna leseni ni kijana mchapakazi na muaminifu.
Elimu kidato cha nne pia nina familia.
Napatikana Dar es Salaam, Kongowe...
Degree hazitakiwi kwa kiasi kikubwa, hivyo basi watoto wetu wakitoka kidato cha 4 waingie vyuo vya kati, then wakiwa wanapambana kupata degree wawe wamepata kazi katikati hapa.
Wakuu.
Wakala wa Vipimo Tanzania wametangaza Nafasi za Kazi katika kada zifuatazo.
1. Afisa Vipimo daraja la III~ Nafasi 150.
2. Dereva Daraja la II - Nafasi. 55
Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.