medenc Member Joined Nov 7, 2015 Posts 98 Reaction score 72 Jun 30, 2021 #1 Ndugu zangu, Mambo si mambo naombeni connection ya kazi hata za udereva nna leseni ni kijana mchapakazi na muaminifu. Elimu kidato cha nne pia nina familia. Napatikana Dar es Salaam, Kongowe kwa sasa. PM iko wazi
Ndugu zangu, Mambo si mambo naombeni connection ya kazi hata za udereva nna leseni ni kijana mchapakazi na muaminifu. Elimu kidato cha nne pia nina familia. Napatikana Dar es Salaam, Kongowe kwa sasa. PM iko wazi
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,864 Reaction score 113,336 Jun 30, 2021 #2 Nini maana ya heading (JB)..?? Otherwise, nikutakie kila la kheri.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,777 Reaction score 126,725 Jun 30, 2021 #3 Kila la kheri mkuu
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,435 Reaction score 191,764 Jun 30, 2021 #4 Hivi hizi kazi za udereva hakunaga ama maana kila uzi naskia kila la heri
mandwa JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 1,508 Reaction score 376 Jun 30, 2021 #5 Mkuu coca cola kwanza wanaitaji distribution drivers nenda peleka maombi jaribu bahati yako
Kukudume2013 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 1,659 Reaction score 739 Jul 6, 2021 #6 Mkuu manispaa ya kinondoni hebu jaribu kuangalia pale nimeona nafasi kama 20 hivi kwa ajili ya madereva ,omba mkuu kama una vyeti
Mkuu manispaa ya kinondoni hebu jaribu kuangalia pale nimeona nafasi kama 20 hivi kwa ajili ya madereva ,omba mkuu kama una vyeti
Atacms JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 5,617 Reaction score 10,517 Jul 6, 2021 #7 Manispaa ya kinondoni nime ona wame tangaza nafasi 39 za madereva zifuatilie kisha ufanye maombi
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,591 Reaction score 1,358 Jul 7, 2021 #8 Jaribu hiyo Attachments AJIRALEO.COM_TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KINONDONI MC.pdf AJIRALEO.COM_TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KINONDONI MC.pdf 80.5 KB · Views: 31
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,758 Reaction score 197,427 Jul 7, 2021 #9 Kila la kheri...