Ni biashara ya kutengeneza nguo aina tofauti kwa jumla na rejareja. Na tunatafuta mtu wa kusaidia na kazi tofauti za ushonaji.
Sifa
1. Awe anajua kushona (sio mwanafunzi)
2. Awe mchapakazi
3. Awe...
Kwa anaye juu utaratibu wa kuomba kazi za ufundi katika mgodi atujuze maana sisi wangine ni mafundi na nafasi wanazo tangaza dah, ni zawasomi wa kiwango cha lami, tujuzane basi na sisi mafundi...
Habari wadau,Nina jengo la ghorofa moja maeneo mazuri sana,jengo lina apartment 6, kinachohitajika ni ukarabati wa kina ili kulifanya la kisasa.
:::Estimate 100ml.zitahitajika.
:::Rent at that...
Habari za wakati huu Wakuu.
Kwanza kabisa nianze kwa kutoa pole kwa changamoto mbalimbali za kimaisha mnazozikabili. Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 23, kitaaluma ni mtaalamu wa...
Mimi ni mhitimu wa veta pia Nina ozoefu wa kufanya kazi kwenye garage mbalimbali.
natafta kaz kwenye garage, kiwanda au sekta yeyote hle Napatkana kw no za simu 0626645648 & 0714624097
Email...
Habari wadau,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, naishi Dar es salam, Wazo, Salasala.
Ninashahada ya ualimu wa masomo ya Geography na English, pia naweza kutumia compyuta japo sio sana...
Habari ya leo wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume,
umri wangu miaka 29 .
Nna mke na mtoto 1,
Naishi Dar Es Salaam
Elimu yangu kidato cha nne
Nimejitokeza hapa kuomba kazi ya sales and marketing ama...
Swali langu kwanini serikali hua haifikilii Kama Kuna Mafundi mtaani wanajenga taifa nawanamchango mkubwa kwenye taifa hili?
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Habari zenu,
Ninatafuta ajira kwa kuandika online, kwa mtu mwenye anafahamu, anamiliki online Chanel yoyote inayolipa, msaada wa connection ninahitaji.
Naandika kwa lugha ya kiswahili ni...
Wanajamvi, kwanza namshukuru mwenyezi Mungu hatimaye nimepata ajira.
But nimepangiwa halmashauri ya Makete, Njombe maeneo ya Mlondwe.
Naomba kwa mwenyeji wa eneo hilo au anaepajua vyema...
Jamani Neema imefunguka nimeshapata kazi ya kuwatengea mabosi chai maofisini, Sema huku mshahara mdogo, 235000, usafiri Nina baiskeli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu ndugu,
Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
Habari zenu ndugu,
Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and...
Wanahitajika wapishi 2 hoteli ya Lahe Mwanza. Sifa ni cheti cha kuhitimu menejimenti ya hoteli uzoefu miezi sita 6- 12 na mshahara 300000/= posho ya usafiri na nyumba. Piga 0754290084 au...
Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.