Natafuta kazi ya Mauzo na Masoko (Sales and Marketing)

Brother Jof

Senior Member
Nov 5, 2018
105
134
Habari wakuu,

Naomba msaada kwa atakaenisaidia kupata kazi upande wa mauzo na masoko(Sales and Marketing) kampuni yoyote Dar es Salaam.

Mimi ni muajiliwa wa kampuni fulani ila kituo changu cha kazi ni mkoani ,Inanichukua siku mbili kufika Dar ambako kuna familia yangu.

Msaada ninaoomba sio kuitwa kufanya kazi kirahisi bali kuitwa katika usali(najiamini katika hili) then nikipata kazi nitampatie hiyo 400k

Note; Sitoi kama hongo bali shukrani kwa kunifanikishia kuitwa katika usaili kwasababu nimekua nikijarib sana kuomba kazi na nimefanya interview nyingi lakn naona sehem kubwa kulikua na upendeleo wa kujuana hivyo sikufanikiwa kupita.
Kiwango cha elimu ni Degree, Uzoefu miaka 6

ASANTENI NDUGU ZANGU
 
Mkipewa mshahara mnakuwa amfanyi kazi ipasavyo....
Mkuu changamoto ya mtu mmoja usii generalize kwa watu wote. Na kama ukiona changamoto inajirudia kwako badilisha mkataba wa kazi ,weka kipengele endapo mtu aki under perfom hatua zichukuliwe dhidi yake, Mimi niko tayari kuwajibishwa hata ikiwezekana kuwa terminated endapo niki under perfom
 
Habari wakuu,

Naomba msaada kwa atakaenisaidia kupata kazi upande wa mauzo na masoko(Sales and Marketing) kampuni yoyote Dar es Salaam.

Mimi ni muajiliwa wa kampuni fulani ila kituo changu cha kazi ni mkoani ,Inanichukua siku mbili kufika Dar ambako kuna familia yangu.

Msaada ninaoomba sio kuitwa kufanya kazi kirahisi bali kuitwa katika usali(najiamini katika hili) then nikipata kazi nitampatie hiyo 400k

Note; Sitoi kama hongo bali shukrani kwa kunifanikishia kuitwa katika usaili kwasababu nimekua nikijarib sana kuomba kazi na nimefanya interview nyingi lakn naona sehem kubwa kulikua na upendeleo wa kujuana hivyo sikufanikiwa kupita.
Kiwango cha elimu ni Degree, Uzoefu miaka 6

ASANTENI NDUGU ZANGU
Kama bado hujapata kazi tuwasiliane kwa- 0765374146
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom