Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake...
Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu...
Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela...
Hi everyone,
I wanted to ask about the current job market in Abu Dhabi. A lot of my friends who are fresh graduates have been applying on LinkedIn and Indeed for months, but mostly getting...
Sisi ni vijana tunaofanya kazi za vibarua katika sekta binafsi zinazohusika na sekta ya uchukuzi, tunajulikana kwa jina maarufu kama Makuli au wabeba mizigo viwandani na ma-godwn/tunabeba mizigo...
Licha ya mahitaji makubwa ya walimu kwa Shule za Msingi na Sekondari, bado walimu wanaojitolea wanaishi maisha magumu, kwa kukosa posho na wengine wakiambulia kulipwa Sh 100,000 kwa mwezi...
Kwa kawaida Serikali huajiri kwa bajeti, kwanini wanashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati ikiwa huweka bajeti ya ajira na kutenga fedha za malipo ya kujikimu kwa mwaka husika wa kifedha kulingana...
Mimi ni muhitimu wa kozi fupi ya Forklift Operator katika Chuo cha Veta Chango’mbe Dar es Salam Mwaka 2025, pale kuna changamoto nyingi zinazosababisha watu wanahitimu wakiwa hawapo fiti, ni kama...
Sisi Walimu Ajira Mpya mwezi wa pili na watatu 2025 katika Wilaya ya Rorya mpaka sasa hatujadhibitishwa kazini, tukiuliza majibu hatupewi mazuri hatujui tatizo ni nini tunaomba ujumbe wetu ufike...
Afisa Utumishi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, mkoani Ruvuma anatumia Madaraka yake vibaya:
Uhamishaji Watumishi Kinyume na Taratibu: Afisa huyo anahamisha watumishi wa umma bila kufuata...
Mimi ni mwanafunzi wa uchumi, ninachokiona ni kuwa ajira za uchumi zinatoka chache sana kwa serikalini, tunaomba serikali kupitia mamlaka zake husika hasahasa Sekretarieti ya Ajira kuweka ajira...
Mtumishi wa chuo cha SUA kampasi ya Solomon Mahalangu Patricia Benedicto office assistant idara ya sayansi ya viumbe hai amekuwa kero kwa watumishi wake kwa kuficha vocha za madeni. Anawatishia...
Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026.
Kero yangu ni kwamba tatizo la...
Miezi mitatu imepita watumishi hawajalipwa posho zao na hakuna taarifa yeyote juu yao, zaidi kuna matumizi mabaya ya makusanyo ya fedha mbalimbali zinazosababisha watumishi wasilipwe posho zao...
Mimi ni Civil Engineer ninahitaji kuhama kutoka halmashauri kwenda kwenye taasisi zenye miradi ya kiuhandisi, huku nilipo hakuna kazi za kiuhandisi nakaa ofisi tu naona taaluma yangu haitumiki...
Mimi ni mmoja wa wafanyakazi katika taasisis moja wapo inaratibiwa na HJFMRI hawa wamechelewesha mshahara ,
Mshahara wetu WA mwezi wa nne mpaka Leo hatujapata na tukijaribu kuuliza halmashauri...
Habari wakuu,
Jina langu ni Jofrey, nina uzoefu katika masuala ya ukopeshaji na huduma kwa wateja.
Natafuta nafasi ya Credit Officer au Loan Officer hapa Tabora.
Niko tayari kuanza kazi mara...
JE ILIKUWA NI AHADI HEWA YA KUPITISHWA NA KUANZA UTEKELEZAJI WA MUUNDO WA UTUMISHI KWA SEKTA YA AFYA (KADA YA UUGUZI NA UKUNGA) KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026 ILIYOTOLEWA NA OFISI YA RAIS –...
Sekretarieti ya Ajira wao huwa wapo strict sana kukusema inapitokea umeitwa katika usaili kisha ukachelewa hata kama ni dakika chache, wanakuona haupo serious kwenye kutafuta kwako, hivyo na wao...