Ndugu Watanzania, nimepokea malalamiko ya Waalimu kwamba Mkurugenzi wa Mbinga DC anawanyanyasa sana Walimu wa Mbinga DC.
Kwa mfano, Mkurugenzi huyo huwaita walimu wote kufika ofisini kwake bila...
Serikali inahimiza watu kusoma kozi za Sayansi huku kukiwa na nafasi ndogo Sana ya wao kutekeleza walichokisomea.
Watu wa Sayansi Asilia pale UDOM wamesahaulika. Mfano, Bsc. Physics wanasumbuka...
Usaili wa ajira (interviews) husababisha hofu na msongo wa mawazo kwa vijana wengi kabla au baada ya kutoka chumba cha usaili.
Tatizo hilo hutokana na hofu inayojenga wakati wa kujibu maswali...
Unashauriwa kuvaa rangi ya Blue, Kijivu au zambarau.
Kamwe usivae nyekundu kwenye usahili kwa sababu inaashiria kuwa hujali kuhusu maswali kwa sababu yote utayajibu hivyo ni kama umewadharau.
Habari wanajukwaa
Kuna mtu aliomba kazi kupitia ajira portal muda wa kuita interview hajawa shortlisted na sababu ni hajaambatanisha registration certificate ambapo yeye ali attach
Afanyeje ili...
MITANDAO YA KIJAMII JINSI INAVYOLIPA!!!
FURSA YA KIPEKEE YA KUKUZA KIPATO CHAKO!
Je, unatafuta njia ya kuongeza kipato chako kupitia mitandao ya kijamii ukiwa nyumbani au popote ulipo?
Karibu...
Habarini nilikua naombeni kazi yoyote ya kariakoo kama ya kuuza duka, kupeleka mizigo ,kutumwa hapa na pale ili nipate chochote kama utawezq kuniunganisha pia nitashukuru sana
Habari Member wa Jf
Mimi ni Kijana kutokea Mbeya (29) nina Shahada ya Uchakataji na Uchenjuaji Madini
(Metallurgy and Mineral Procesing Engineering)
Ambapo naweza kufanya kazi kwenye:
-...
Katika Halmashauri ya Kibondo, upandaji wa Madaraja hatuna elimu na wengine hadi miaka 5 inapita bila kupanda daraja, je! Kwanini tusiambiwe ukweli ili mtu ukaishi bila kulaumu kiongozi?
Suala la...
Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori Tanzania (TAWA) Imezuia kukamilisha taratibu za ajira za Askari wake 12 waliomaliza kozi ya mafunzo ya jeshi la uhifadhi kwa muda wa miezi 6 (KOZI INTAKE...
Wizara ya Afya ijitafakari sana katika hili,, watumishi wa afya wanalia na Muundo wa mishahara miaka nenda miaka rudi,, tunaishia kusikia tu waziri akizungumzia kwenye majukwaa ya kisiasa suala la...
Max Pro Limited ni Kampuni inayojihusisha na utengenezaji na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za Usafi kama vile Tiles Cleaner,Hand Wash Soap,Window Cleaner,Shower gel,Air Fresh,Car Shampoo,Hair...
Habar wakuu,
Sisi wafanyakazi tunaofanya kampuni binafsi hakika tunanyanyasika sana hasa linapofikia swala la kulipwa stahiki zetu na mishahara, kuna kuwa hakuna sababu ya mfanyakazi kulipwa...
Wahusika katika secretariat ya Ajira Tanzania kitengo cha Huduma kwa Wateja Kuna. changamoto ya kimawasiliano hawatoi Huduma kabisa vijana tuna pata changamoto kwenye mfumo wa ajira lakini ukipiga...
Mimi ni mhitimu wa ngazi ya Ordinary Diploma katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mwanza, nimesoma kwa miaka 3 (yaani 1st year Certificate, 2ry & 3yr Diploma nimehitimu 2024 November...
Niko Mwanza, kisesa, Igudija ......natafuta kazi yoyote ile ya halali, niwe nafanya nikiwa free maana nina kazi ingine ila mshahara haunitoshi, majukumu yananizidi na mwishowe nimekuwa na madeni...
Wakuu naomba msaada kidogo.
Kuna kazi nimeomba (hasa za research na translation), wameomba nitume writing samples. Sasa hapa ndipo napata maswali:
👉 Hizi writing samples ni nini hasa?
👉 Natakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.