Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Kuna kampuni inaitwa Epvate & Fortune International Consulting Ltd wajiriwa wake katika mgodi wa Barrick Bullyaghulu kupitia Kampuni ya Contractor BLY hawachangii michango ya Wafanyakazi ya NSSF...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Mimi ni Mtumishi katika halmashauri ya Kibondo. Khero yangu kubwa ni Makato yanayokatwa na Chama cha wafanyakazi TALGWU, ambayo kwa kila mwezi ninakatwa 17,660/= Ila ni miaka zaidi ya 2 imepita...
1 Reactions
4 Replies
166 Views
Job Advertisement A Secondary School located in Dar es Salaam is URGENTLY looking for qualified teachers in the following areas: 1. Chemistry and Biology 2. ICS/Physics/Mathematics 3...
0 Reactions
0 Replies
119 Views
Kuna gepu la kutoelewana kati ya watanzania waliopata elimu ya juu na mahitaji yanaayohitajika kutatua changamoto za makampuni/Soko huria. Nimefatilia mahojihano mbali mbali ya watu wakilahumu...
3 Reactions
9 Replies
272 Views
Kwa wale tunaofanya kazi chini ya TAMISEMI kwakweli hii wizara inachosha yaani mtu unahama miaka miwili ila mshahara bado upo huko ulikotoka,unaanza kumbembeleza mkuu wa huko ulikotoka apitishe...
4 Reactions
11 Replies
272 Views
Ninaomba kujulishwa iwapo kuna mtu ana taarifa ya mchakato wa kuomba mafao ya kuacha kazi unachukua muda gani huko NSSF hadi kulipwa mafao hayo
2 Reactions
73 Replies
46K Views
Habari za muda naomba utusaidie kupasa sauti kwa kweli Halmashauri yetu ya Chato hawajatutendea haki sisi walimu wa sekondari tulioajiriwa Mwaka 2025. Walitupa fedha za kujikimu shilingi laki...
1 Reactions
9 Replies
371 Views
Habari wakuu, kuna mdogo wangu mmoja ametoka kuitwa kwenye oral interview ya nafasi fulani kupitia ajira portal, ananimbia amesikia "ukiitwa ajira portal kwenye oral interview" lile swali la tell...
5 Reactions
42 Replies
882 Views
Wazee kwa unyenyekevu mkubwa naomba connection ya kazi Nina familia hapa nawaza mpaka bas naomba atakama sio kazi ambayo nimesomea naomba kazi yoyote halali ambayo itanitoa kwenye mapito haya...
8 Reactions
67 Replies
3K Views
Sisi tuliokuwa wafanyakazi wa muda mrefu katika Hospitali ya JKCI-Dar Group (zamani ikijulikana kama Dar Group) tumejikuta katika hali ya sintofahamu kufuatia uamuzi wa mwajiri wetu kusitisha...
2 Reactions
0 Replies
317 Views
Mhali Gani wakuu husika na kichwa cha habari pale juu Mimi ni kijana wa kiume natafuta mtu au watu naoweza kuingia nao mkataba wa kumtunzia Nyumba akiwa kasafiri yupo mkoani au nje za nchi usihofu...
2 Reactions
2 Replies
129 Views
Anonymous
Kumekuwepo na changamoto kubwa katika Sekta ya Maabara nchini, jambo hili tulipaza sauti mwaka 2024 lakini bado slinahitaji hatua za haraka kutoka kwa mamlaka husika: Kumekuwepo na changamoto...
2 Reactions
4 Replies
236 Views
Anonymous (fdc6)
Kwenye utaratibu wa usahili wa mchujo wa ajira kutoka sekretarieti ya ajira kuna shida mahali. Watu tumeenda kufanya usahili wa mwalimu daraja la III C Historia. Halafu unakutana na maswali 50...
12 Reactions
34 Replies
1K Views
Anonymous (b5ce)
Mimi ni mwajiriwa Mpya Manispaa ya TEMEKE, Dar es Salaam, March 6, 2026 tuliwekewa fedha kwenye account zetu waajiriwa wapya Idara ya Msingi, jumla ya Walimu 77 tuliwekewa fedha kwa wastani kila...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Hapa kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC), Mkurugenzi Mtendaji wetu, Erica Yegella ana changamoto kadhaa kuhusu matumizi ya ofisi yake: 1. Hakufanya kikao na Baraza la Wafanyakazi...
4 Reactions
8 Replies
313 Views
Wadau naombeni connection ya kazi, kazi yoyte nitaifanya kiufasaha. Nina experience ya miaka miwili as sales officer na marketing, nipo dar. Simu: 0757148294
4 Reactions
12 Replies
289 Views
Anonymous (734e)
Wallimu wa Shule ya Sekondari na Chuo cha Ualimu Al Haramain tunapitia wakati mgumu kwasababu tunapata mishahara mi nne tu kwa mwaka yani January, April, July, na September. Hali kadhalika hatuna...
2 Reactions
10 Replies
244 Views
Habari wakuu. Naomba mwenye taarifa, madogo walifanya usaili karibuni mwezi April. Naomba kujua kama walishaitwa kwa mwenye taarifa.
0 Reactions
3 Replies
177 Views
Ndugu zangu nisaidieni,nataka kijana wangu akimaliza form six nimshauri asome kozi ya Architectural Design Ardhi University,vipi kozi hii kwa sasa ina soko kweli?
0 Reactions
3 Replies
193 Views
📢 PAID INTERNSHIP — 5 POSITIONS Makomu Impo & Expo – Dar es Salaam We’re hiring Accountant Interns with Marketing Skills. Requirements: • Accounting / Marketing student or graduate • Strong...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Back
Top Bottom