Ukorofi huo.Hajui tofauti ya uji na uchi!?Unahitaji
Account officer (04) na
Mhasibu (01).
CV kwa whatsapp no. Wanakuja mkuu.
Mkuu yupo speed sana Hana time. Inabidi tujichambue wenyewe na watani zangu wahasibu.Ukorofi huo.Hajui tofauti ya uji na uchi!?
Winga huyo.Anawahi akachukue kamisheni yake ya udalali wa kusaka man-power.Unamchelewesha.Mkuu yupo speed sana Hana time. Inabidi tujichambue wenyewe na watani zangu wahasibu.
Nitakuwa na ajira/kazi ngapi sasa?Wewe endelea kusaka watu wako mkuu.ipo siku utakumbuka hii thread za kazi
Huu sasa ndio ukorofi .hr yupo race anatafuta mtu wa kumfanyia returns na kila kitu, wewe unambatiza uwinga anasaka man power🤣🤣🤣 watu mnapishana na fursa asubuhi asubuhi aisee,Winga huyo.Anawahi akachukue kamisheni yake ya udalali wa kusaka man-power.Unamchelewesha.
Lazima akutane na vichaa wamchangamshe mzunguko wa damu na uchangamfu wa ubongo.Awe mpole tu.Huu sasa ndio ukorofi .hr yupo race anatafuta mtu wa kumfanyia returns na kila kitu, wewe unambatiza uwinga anasaka man power🤣🤣🤣 watu mnapishana na fursa asubuhi asubuhi aisee,
tatizo wanakariri kila mtu huku ni tapeli jana nimepata watu 20 na wote nawingiza kazini nimeshawatumia kila kitu na leo nataka professional peopleHuu sasa ndio ukorofi .hr yupo race anatafuta mtu wa kumfanyia returns na kila kitu, wewe unambatiza uwinga anasaka man power🤣🤣🤣 watu mnapishana na fursa asubuhi asubuhi aisee,
Uliwahi kuona wapi mwandiko una kelele ndugu "mwajiri"?sasa kama unakazi/ajira kelele za nini mpe ndugu hili tangazo kama ana CPA
Asante ofsa.Mimi kukosa kazi ni mpaka ardhi yote iibwe nishindwe kulima nyama.siku ukikosa kazi huko ulipo unitafute ntakufix popote ndugu
Hongera sana mkuu, familia za watu 20 zimeneemeka.tatizo wanakariri kila mtu huku ni tapeli jana nimepata watu 20 na wote nawingiza kazini nimeshawatumia kila kitu na leo nataka professional people
Nimejua Wasiwasi wako ni CV kutumwa kwenye Whatsapp.🤣🤣🤣 Huyu ni mbanga a.k.a fork liftAsante ofsa.Mimi kukosa kazi ni mpaka ardhi yote iibwe nishindwe kulima nyama.