Kitaaluma Mimi ni Daktari wa mifugo, vet. kulingana na changamoto za mtaji ili niweze kujiajiri nafkiria kuomba mkopo halmashauri Kama million 5 hivi, kwa ajili ya kilimo na ufugaji, vitu gani vya...
Ndugu habarini.
Nina kamgahawa kangu.
Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma hivi karibuni inatarajia kuendesha usaili wa kuandika kielektroniki. Hivyo imeandaa mikutano ya kukusanya maoni na mahitaji ya mfumo wa kieletroniki...
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, wanajamvi maisha yang sio tu magumu bali ni mabaya sana, nahitaji msaada wenu nipate kazi yoyote ya halali.
Elimu yangu kidato cha sita PCB Azania...
Ndugu zangu
Mimi ni kijana wa miaka 20 naomba kama kuna mtu ana kazi yoyote anisaidie ili niweze kuwatunza mama angu na wadogo zangu.
Tafadhali kama ukiguswa na una moyo naomba unisaidie Mungu...
Habari waungwana wa humu JF. Naomba msaada wenu kwenye hili. Nina mdogo wangu amesoma bachelor of science in chemistry amemaliza chuo 2017 kwa sasa anafanya kazi kiwanda cha vipodozi kama...
Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
Hivi hizi jobs tunaweza ziotea vipi jamani?
Kwa wale part-time workers na wale wanaotafuta mikataba kabsaa. Naomben kidogo ujuzi na connections za kuzamia huko.
Life is so toughest
Kigoma niko.
1. Eneo la kazi Kibara-Bunda hapohapo mjini.
2. Awe mkristo Mkatoliki au akiwa mkristo tu inatosha hata Msabato sio mbaya.
3. Awe kati ya umri wa 25 yrs kwenda mbele, hata akiwa mama mtu mzima...
Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi nafasi yoyote kasoro za ndani, bar
Umri :29
Elimu: Shahada ya mambo ya Computer na ulinzi wa taarifa.
Mahali nakoishi: Tegeta -Dar
Jinsia: Kike...
Ajira ni Mchakato ambao una hatua mbalimbali mpaka kumpata mtumishi wa Umma anayefaa.
1. Hatua ya awali kabisa ni kupokea Kibali.
Kuna vibali vya aina mbili ambavyo hupokelewa kutoka Ofisi ya...
Madereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu, kazi ni nyingi ila connection ndio wengi hawapati.
1/ Kuna mall kubwa katika miji ambayo...
Hello wakuu natanguliza shukrani kwenu,
Nina mdogo wangu kamaliza kozi ya ukunga ngazi ya cheti, kwa Sasa gharama za kuendelea na diploma zinasumbua hivyo tumeona tumtaftie kazi kwanza.
Kwahiyo...
Hello,
Mm ni mwanaume nina miaka 33, na degree ya Mass Communications nime majour kwenye Public Relations and Marketing.
Ingawa nina uzoefu wa Miaka 7, ya ajira.. katika Community Outreach...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.