Msaada: Natafuta kazi yoyote

Msaada: Natafuta kazi yoyote

mozeh

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2022
Posts
493
Reaction score
963
Kama kichwa cha habari kinavojieleza, wanajamvi maisha yang sio tu magumu bali ni mabaya sana, nahitaji msaada wenu nipate kazi yoyote ya halali.

Elimu yangu kidato cha sita PCB Azania (2015-2017)
Natanguliza shukrani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom