kipenseli2021
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 1,780
- 1,702
Habari Wana jukwaa naomba Uzi huu uwe Kwa ajili ya kupeana taarifa mbali mbali za Fund au Grant Kwa ajili ya proposal mbali mbali zinazo tangazwa na serikali au Taasisi mbali karibuni
Zozote tumaUngependa opportunities za grants zaaina gani?..omba nikutumie hapa.
KabisaMwalimu-Mkuu calls for proposals za miradi ya maendeleo itapendeza zaidi