Naomba Kazi(Ajira)

Naomba Kazi(Ajira)

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Hello,

Mm ni mwanaume nina miaka 33, na degree ya Mass Communications nime majour kwenye Public Relations and Marketing.

Ingawa nina uzoefu wa Miaka 7, ya ajira.. katika Community Outreach. Marketing and Sales..na pia nimefanya Post za Public Relations, Campaign and Advertising.

So niko available kwa sasa sina Ajira.

Nina uzoefu wa Kufanya na Makampuni na NGOs pia.

Karibu DM ikiwa una msukumo wa kunisaidia kunionganisha mahali au kama wewe ni HR au una Authority ya kuajiri katika kampini yenu/yako.
 
Nakuombea
 
Pitia foundation ya benjamin mkapa wametangaza nafasi za kazi, pitia kama kuna kazi inayoendana na qualifications zako ujaribu kuapply. View attachment Job Advert .pdf
 
Back
Top Bottom