Dullyminah
Member
- Nov 8, 2017
- 19
- 17
Habari waungwana wa humu JF. Naomba msaada wenu kwenye hili. Nina mdogo wangu amesoma bachelor of science in chemistry amemaliza chuo 2017 kwa sasa anafanya kazi kiwanda cha vipodozi kama Labolatory tecnician (mkemia).
Hicho ni kiwanda cha wahindi wanampa mshahara mdogo sana. Ajira za serikalini zimekua chache sana hua kila akiomba anaitwa kwenye interview ila hajafanikiwa. Msaada wenu kama kuna sehemu mtu anaweza kushauri akaombe kazi ila isiwe kwa wahindi