Habarini ndugu zangu wa JF natumahi nyote ni wazima! Tafadhali naombeni ushauri juu ya hiki kisa changu.
Mimi ni mtumishi mpya wa serekali ,nafanya kazi taasisi A ambayo haiko kwenye mfumo wa...
Hello! Wana JF.
Anahitajika afisa masoko na mauzo kwa ajili ya biashara ya vifaa vya keki na upambaji wa keki. Maombi yapo wazi kwa jinsia zote ila wanawake watapewa kipaumbele. Tangazo kamili...
Habarini za usiku wadau,
Ninapenda kuchukua fursa hii kuwapongeza PSRS kwa hatua ambazo wamechukua juu ya maoni yetu sisi wasaka tonge.
Kwan jion ya leo nimejaribu kuingia kwenye tovuti yao...
Wakuu kuna haka kausumbufu ka kupokelwa kituo cha kazi baada ya kupangiwa na PSRS natole mfano kwa taasisi ambayo nilibahatisha ya JKCI sijajua huko kwingine.
Leo ni zaid ya siku kumi na nne...
Habari wapendwa,
Kama kichwa cha habari apo juu.
Nilikuw na changamoto kwenye majina cheti cha form four
Nida
Chuo
Naomba ushauri kipi nibadilishe kati ya ivyo juu au kipi nichukue kiapo ili...
Requirements to the employee: Must know English, have an android phone and a desire to work and learn.
The employee must be from the city of "dar es salaam" and must be able to move freely around...
Wadau naomba kuuliza aliewahi fanya kazi kwenye hii kampuni ya usafi ya SPIK N SPAN. Nataka nipeleke maombi yangu. Kuna mdada mmoja kanambia nipeleke barua sasa kanitajia viambata vingi hadi...
Mambo zenu wakubwa,
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Mimi ni kijana mwezenu nina shahada ya fizikia na kemia. Shahada yangu nilifaulu vizuri sana kwa GPA ya 4.
A-level nilifaulu vizuri...
Adui wa msomi ni msomi
Kwa walio na degree za UDOM na UDSM ni kazi Sana kupata kazi kwenye taasisi ambazo wakuu wake wamesoma nje ya hivyo vyuo au Wana Diploma. Nafikiri labda huwa wanahofia...
Anahitajika matron wa nje na ndani wa primary shule iko Mbweni usaili utafanyika jumatano saa 2:00 asubuhi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0623092982
Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial.
Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office...
Habari wakuu
Tafadhali kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata fursa ya kazi iwe katika taasisi, kampuni au biashara yake au kwa mtu mwingine anayemfahamu nitashukuru sana.
Nina uzoefu katika...
Mimi ni mdada, mwenye uwezo wa kazi za receptionist, secretary, office attendant, Assistant administrator, Matron na pia ata storekeeper na hata mikoani naweza relocate Msaada
Habari wana JF wenzangu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nipo dar natafuta kazi halali ya kufanya ili niitunze familia yangu pia nina uzoefu na kazi za magari lorry basi daladala
Nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.