Alkam Alkam
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 603
- 512
Madereva wengi wanaangaika kupata ajira kwa kupitia fani zao za udereva embu pitia hapa upate mbili tatu, kazi ni nyingi ila connection ndio wengi hawapati.
1/ Kuna mall kubwa katika miji ambayo tunaishi, baadhi ya hizi mall wanakua na mbao/board za matangazo nenda stationary andika tangazo lako vizuri la kuomba kazi.
Nenda siku katika hizo mall omba kuongea na uongozi na uwaombe kuweka tangazo lako hapo ila jitahidi kipindi chote hicho uwe unamdhamini anaeeleweka.
2/Jichanganye na watu wa fani yako, beba leseni na copy za vyeti nenda sehemu unakojua wanahusika na magari, tafuta mwenyeji eneo hilo na mwambie shida yako.
● Keko sheli kwa madereva wa IT.
● Kinondoni B wanapokodisha magari.
● Kwenye mageti ya bandarini.
3/ Penda kutembelea mtandaoni na kusearch {Kazi za Udereva} katika Google zitakuja page nyingi na anza kupitia moja moja huenda ukapata nafasi na ku apply.
4/ Nenda pale utumishi opposite na Chuo cha DIT ukiwa na vyeti vyako kuna maelekezo watakupa ya kufanyiwa interview na kuacha copy za vyeti vyako hapo ikitokea nafasi huwa wanawapa kipaumbele waliofanyiwa interview na vyeti vikiwa hapo.
NB: kipindi chote hicho jitahidi kuwa smart na active kwa number za simu na email address yako.
Kama kuna anaejua njia ingine ongeza hapa.