Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habr zenu wadau,km kichw knavojieleza hapo, kuna kaz ya usafi nataka niombe wa ktk vigezo vyao wanasema niwe na TIN number,kwhyo nawauliza wadau kwa yyte anaejua inakopatikana!! Na mchakato wake...
0 Reactions
7 Replies
906 Views
Ndugu zangu nahitaji dada wa kazi za ndani familia ya watu watatu, baba mama na mtoto wa miaka 4 mshahara 70k. Nipo Kimara Dar. Nipigie 0626097783.
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Yani leo katika pitapita zangu mtandaoni na ujobless wang nikasema ngoja nichungulie huku utumishi aisee hakuna tangazo la kazi hata moja aisee vijana tujiajili tu au tucheki private sector huku...
0 Reactions
7 Replies
757 Views
Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Mwenye mahindi anayepatikana Mkoa wa Tanga tuwasiliane tuweze kufanya biashara. Ni mradi wa muda mrefu maana ni taasisi. Mm nina wateja wanaohitaji unga mwingi na nina mashine zangu za kusaga na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta dereva makini na mzoefu mwenye ujuzi na uzoefu njia ya kwenda Moshi achukue familia yangu tarehe 23 Desemba aipeleke Himo awaachie gari arudi DSm akitaka au aende Moshi. Wife anataka...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
JOB HUNTING TACTICTICS Kijana wa kiume unaetafuta kazi bila mafanikio usiache kupitia hii post. Wanaume muda mwingine muache kuandika CVs ovyo ovyo Sometimes Save some money. Shiriki kwenye hizi...
18 Reactions
22 Replies
2K Views
Mimi ni kjana mwenye miaka 30+, nimekuja Dar kutafuta maisha kutokana na hali niliyokutana nayo mkoani. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ile ya halali nijikwamue kiuchumi. Elimu yangu ni diploma.
1 Reactions
8 Replies
830 Views
VACANCIES RECRUITMENT OF 19 REGIONAL POSITIONS RECRUITMENT OF 19 REGIONAL POSITIONS Closing Date Fri, 10/28/2022 - 12:00 Background The Southern African Development Community (SADC) is a...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Habari wakuu. Naomba mnisaidie kazi Elimu yangu Diploma Nursing and Midwifery. Uzoefu wa miaka miwili Hospitali na Mashirika. Nje na Fani. Nimefanya biashara na kusimamia biashara za watu...
3 Reactions
4 Replies
660 Views
Tunazaliana usiku na mchana ila nashangaa eti walimu hawana kazi, Nchi inachekesha sana Mzungu ana watoto wawili ila walimu hawatoshi pamoja na jitihada za serikali, ila sisi Tangazo la kazi...
0 Reactions
2 Replies
521 Views
Habari sana wakuu! nakuja katika jukwaa hili kuuliza suala nililolitaja hapo juu katika anuani ya ninachotaka kuuliza. Mimi niliombewa kibali na mwajiri wangu kwa katibu mkuu utumishi baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Many greetings to everyone. We are currently looking for Software Developers in Africa. We welcome applications from all African countries. Consideration will be placed on a...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, naomba kama kuna mtu anafanya kazi ya uhasibu kwenye kampuni za mabasi makubwa anisaidie ndio nmemaliza chuo, nimefanikiwa kupata kazi ila sina mtu wa kunielekeza. Boss...
10 Reactions
119 Replies
9K Views
Habari wakuu, Huu ni uzi ambao wadau wanaweza kuweka uzoefu wao ilikuaje siku ya kwanza kuingia kazini? Ulifika kazini muda gani? waliompokea walikuaje? Mambo yapi yalikufanya uzoee mazingira ya...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba ushauri kidogo, kwa upande wako unashauri nini? Kazi mkoani (iringa) kwa mshahara wa take home ya 1M au kazi ndani ya dar es salaam kwa take home ya 700k. Yote ni makampuni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mzuka, Kindly refer the heading! Mimi John kimario kalungeyeye natakufa kazi yoyote Ile wakuu mimi ni mhitimu master degree in business administration kutoka chuo cha st. Stewart University cha...
1 Reactions
7 Replies
855 Views
Habari uwaungwa naombeni msaada wa kujaza hii form
1 Reactions
3 Replies
483 Views
Shule ya Nzivi Green Star English Medium primary school iliyopo Mufindi-Iringa, inatangaza fursa ya ajira za ualimu. 1. Nafasi mbili za walimu wa hisabati na sayansi. 2. Mwalimu mmoja wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Kuna dereva wa kike anatafuta gari kwa ajili ya biashara ya bolt/Uber/paisha etc Leseni yake ni daraja D ana uzoefu mkubwa wa kuendesha hapa dar es salaam. Ni mstaarabu na na mtunzaji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom