Wakuu kuna haka kausumbufu ka kupokelwa kituo cha kazi baada ya kupangiwa na PSRS natole mfano kwa taasisi ambayo nilibahatisha ya JKCI sijajua huko kwingine.
Leo ni zaid ya siku kumi na nne tangu kuriport unafika pale wengine tumetokea mbali mikoani hatuna ndugu huko wakishakupokea then wanakwambia andika namba yako ya simu tutakupigia ukiuliza ni lini labda wanakwambia we subiria tu kaa karibu na simu yako.
Sasa kwa sisi tuliotoka mbali unapata kigugumiz cha kuondoka kwan hujui utahitajika sa ngapi na kuishi jijini ni gharama sana ukizingatia mishe zilikuwa huko kijijin tulipokuwa, yan hali inakuwa ukikuta namba ngen inabid ukope hata salio kupiga ili ujue kama n huko ama vipi.
Kwahyo inakuwa ni usumbufu ukizingatia sio mda wote mtu unakuwa na simu na kuna emergency za simu kuzima pia.
Nashauri wawe wanapanga tarehe kabisa ili kuepusha hizi mambo.m, pamoja na hayo naomba kama kuna member humu atakaepigiwa kutoka kwenye hiyo taasisi acomment hata kwenye huu uzi.
Kwani mimi binafsi nimeaamua kurudi chimbo kijijin kwny mashamba ya mpunga huko mahali ambapo baazi ya maeneo hata network hakuna.