Msaada: Natafuta kazi

Activity_Amir

New Member
Jan 3, 2023
1
2
Habari wana JF wenzangu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nipo dar natafuta kazi halali ya kufanya ili niitunze familia yangu pia nina uzoefu na kazi za magari lorry basi daladala
Nina leseni ya A1 A2 C1 & D
pia ninajua kutumia computer. Naweza kuuza duka la jumla na rejareja Pia sheli. Viwandani kazi naweza

Namba 0767022312 au 0747300730
Nisaidieni bado kijana mdogo ili niepukane na vishawishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom