Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wanahitajika mafundi furniture watatu wenye uzoefu. Eneo la kazi Ni Kigamboni Dar es Salaam. Sifa Nidhamu ya kazi Msikivu Mkazi wa Dar
1 Reactions
6 Replies
580 Views
Uongozi wa Bright Step Daycare iliyopo Goba unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike na wakiume, waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto. Usaili utafanyika siku ya kesho jumatatu...
2 Reactions
6 Replies
763 Views
Kwa ambaye amewahi kufanya interview kwa hii Kada ya LIVESTOCK FIELD OFFICER II naomba kujua maswali, nisome angle ipi hasa au kama kuna group la whatsapp naombeni link nijiunge..Asanteni
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Mgahawa unaitwa Upcountry Kitchen Taste upo Kibosho Mweka- Kilimanjaro, unatangaza nafasi ya mpishi. Muombaji awe jinsia ya kike pia awe na ujuzi wa kupika vyakula vyote vya kiTanzania kuanzia...
0 Reactions
2 Replies
810 Views
Habari wapendwa! Samahani, natafuta dada wa kazi za nyumbani. atakuwa anaishi nyumbani. na nyumba ipo na mke pamoja mtoto tu. Kigezo; Awe na miaka kwanzia 18 - 24, Mchamungu & anayejielewa...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, nimatumaini yangu mnaendelea vizuri. Niingie moja kwa moja kwenye mada, nimetafakari nikaona si vibaya nikaongezea ujuzi wa umeme wa magari. Lakini ninatamani kupata a, b, c...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Dear Headmaster, REF: Application for Physics and Chemistry teaching position at your school. I am writing to express my strong interest in the physics and chemistry teaching position at your...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari wakuu Mimi ni kijana ninaye jishughulisha na udereva mtandaoni hapa jiji Dar es Salaam . Nahitaji gari la hesabu kwa ajili ya kufanyia kazi. Mawasiliano 0656539177
0 Reactions
0 Replies
491 Views
Habari, Je, kazi au wajibu wa AFISA TAWALA DARAJA LA II ni upi? Msaada
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Nadhani ni kuanzia mwaka jana serikali kupitia TAESA wamekuwa serious kuwatafutia vijana sehemu za kujitolea wakiwa kama interns. Za chinichini ni kwamba hawa vijana hawawezi kuachwa ajira...
7 Reactions
30 Replies
17K Views
Naitwa Edson Joseph malingumu natafuta kazi ya salon upande wa nail artist, pedicure & mancure. Kwa sasa naishi nchini uganda ndo nako nafanyia kazi Ila naitaji kurudi nchini kwangu. Nina uzoefu...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari wana jukwaa Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 Fundi welding napatikana dar es salaam, Mbagala natengeneza :- Milango Madirisha Vitanda Anger N.k wanajukwaa Naomba KAZI Kwenye Ofisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wa ndugu, Mimi ni kijana wa miaka 29 nina degree ya ICT na pia nina advance diploma in education na nina uzoefu wa kufundisha kwa miaka minne sasa kwenye shule fulani ya serikali hapa...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Wakuu, Fursa hiyo,wenye sifa tajwa tuchangamkie
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari wadau,nahitaji kufahamu kazi na majukumu ya afisa biashara selikalini.Mwenye uelewa anijulishe kwani nipo njia panda sielewi.. Natanguliza shukrani..
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari, Kama kichwa kinavyo sema hapo juu, mimi ni kijana nina miaka 26 elimu ya stashada ya maendeleo ya jamii kwetu ni mtwara kwasasa nipo Dodoma, Ujuzi nilio nao tofauti na elimu yangu: ...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
walioitwa REA kufanya interview tujuzane abc hapa naomba kuwasilisha
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Mimi naanza na ; Tanzania People's Defence force (TPDF) established? Ans: 1964
1 Reactions
83 Replies
17K Views
Habari wadau wa ajira, Naomba kuuliza hivi mtu akikuambia umpe CV yako yaani Curriculum vitae ana maanisha hiyo CV na vyeti au unaweza kutuma CV pekee yake?
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom