Natafuta pesa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 287
- 396
Anahitajika matron wa nje na ndani wa primary shule iko Mbweni usaili utafanyika jumatano saa 2:00 asubuhi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0623092982
Jina lako una tafuta pesa..?Anahitajika matron wa nje na ndani wa primary shule iko Mbweni usaili utafanyika juma tano saa 2:00 asubuhi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0623092982
umepata ukakasi mkuu?Jina lako una tafuta pesa..?
New member
Kwasababu wameacha mawasiliano yao hapo, ni vyema ukawasiliana nao, japo maswali Yako ni ya msingi mkuu.Umri?
Kiwango cha elimu?