Madibira 1
JF-Expert Member
- Jan 6, 2023
- 381
- 866
Adui wa msomi ni msomi
Kwa walio na degree za UDOM na UDSM ni kazi Sana kupata kazi kwenye taasisi ambazo wakuu wake wamesoma nje ya hivyo vyuo au Wana Diploma. Nafikiri labda huwa wanahofia kuporwa vyeo vyao jambo ambalo sio kweli. Wengine wakikuta labda muajiriwa toka hivyo vyuo amepata nafasi basi huundiwa zengwe mpaka ahamishwe au aache kazi.
Nimetuma maombi sehemu nyingi na kuhudhuria saili nyingi na nimeyaona haya. Jamaa zangu wengi wameamua kuwa wachungaji tu baada ya kushindwa mpambano wa kusaka ajira na figisu za UD-phobia. Tupeane fulsa jamani Ili nasi tupate ahueni ya maisha.
Jamani nilikua najitolea kufundisha katika shule ya serikali na kuchukua laki Moja Kwa mwezi. Kwasasa niunganisheni na shule yeyote ila malipo yawe angalau kuanzia laki 2 na kuendelea . Kuna shule nilifanya kazi wakati sijamaliza masomo nilipomaliza nilimkuta jamaa wa SAUT ya Bukoba akabana, baadae akahamia mdada wa RUCU huyu hata barua ya maombi sijui Kama alisoma lakini akaajiri ambao hata hawana taaruma ya ualimu.
Mwaka 2022 mwishoni Kuna shule mbili walitangaza nafasi za kazi. Nikatuma maombi lakini licha ya uzoefu wa miaka karibia 4 yakujitolea nikapigwa chini, baadae naenda LinkedIn kusoma profile ya mkuu wa shule mojawapo amesoma SAUT Mwanza na mwingine TEKU aisee!. Nyie jamaa muache roho mbaya.
Msinicheke kujitolea Kwa hiyo laki maana serikali (kuanzia serikali ya mtaa, kata, wilaya, mpaka Taifa)imekua ikinidanganya kuwa ajira zikitoka nitapewa kipaumbele lakini hakuna. Nimeona Bora niache niende hata private nikapambane. Degree yangu inanitesa kitaa Bora niondoke niende mbali hata nikipata laki 2 au 3 Kwa mwezi poa tu lakini sio laki. Nipeni madili yakufundisha au yoyote lakini malipo yaanzie hapo.