Natafuta kazi ya video production

Natafuta kazi ya video production

baruti 1

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
620
Reaction score
703
Ninauzoefu usiopungua miaka mitatu katika utengenezaji wa vipindi vya televisheni kama vile matukio kama harusi,mikutano,makala na talk shows .
Nina elimu ya chuo kikuu.
Nina weza kushoot events zozote ,kuandika script, kutafta masoko na pia kufanya editing.
kwa yeyote atakeyeona tangazo hili na ana uwezo wa kunisaidia naomba anisaidie nina wadogo wananitegemea, ninamwahidi sintomuangusha.
Ambae atakua tayari anifate inbox nimtumie cv yangu, siwezi weka hapa contacts zangu kwa sababu maalumu.
 
Tangazo lako lina taarifa zote za muhimu, hongera sana. Kwa uzoefu wako, ili mtu afungue ofisi ya video production yenye uwezo wa kurecord event mbali mbali unahitaji vifaa vipi vya msingi na gharama yake inaweza kuwa sh ngapi
 
VIFAA
1.camera 3 kwa kuanzia -mbili zikawa za video na moja ikawa ya picha, kamera nzuri unaweza kuanza nayo 5D Mark inauzwa dolar 1999 check EBAY OR AMAZON
2. Tripod stand atleast 2, kwa kuanzia unaweza nunua zile za laki mbli na nusu mpaka laki tano maana zipo mpaka za million.
3.microphones, wireless mfano hii Sony wireless mic UWP-D inauzwa 1,120,000TSH pale JUMBO au ASAKI TECHNOLOGY nae anauza. ni nzuri na ninauzooefu nayo kwenye kuitumia , lakini ukishindwa hii kuna mapaka za laki mbili.
4. taa ni muhimu na ziko za aina nyingi lakini zingatia "three point lighting" set moja ya taa za LED ni shilingi 1.2 m
5. kuna lenses mbalimbali nazo ni muhimu kununua lenses zinaanzia laki mbili mpaka mamilioni.
6. computer yenye uwezo wa kufanya editing ,inashauriwa iwe na RAM kwanzia GB 8,
WATU
1. wapiga picha 3
2. mhariri 1
3. mtu wa graphics 1
4. marketing
5. director
but kibongo bongo si unajua tena watuu wawili wanaeza cover kazi zotee hapo, kama mimi nnaweza fanya zote hapo ispokua graphiics ambayo nayo najifunza.
KWA USHAURI ZAIDI NITUMIE/WEKA NAMBA YAKO NKUSHAURI ZAIDI
 
Umelock pm yako
Mi ni Director, najua sana kuzalisha na kuongoza kazi zote za Media. Kuanzia filamu, tamthilia TV programs mpaka music videos. Ni PM tuyapange vizuri....
 
sawa ndugu, tayari
 
Umelock pm yako
Mi ni Director, najua sana kuzalisha na kuongoza kazi zote za Media. Kuanzia filamu, tamthilia TV programs mpaka music videos. Ni PM tuyapange vizuri....
MKUU NIMEKUPM SINCE YESTERDAY, NAONA KIMYA, TAFADHALI BWANA
 
Ninauzoefu usiopungua miaka mitatu katika utengenezaji wa vipindi vya televisheni kama vile matukio kama harusi,mikutano,makala na talk shows .
Nina elimu ya chuo kikuu.
nina weza kushoot events zozote ,kuandika script, kutafta masoko na pia kufanya editing.
kwa yeyote atakeyeona tangazo hili na ana uwezo wa kunisaidia naomba anisaidie nina wadogo wananitegemea, ninamwahidi sintomuangusha.
Ambae atakua tayari anifate inbox nimtumie cv yangu, siwezi weka hapa contacts zangu kwa sababu maalumu.
Mkuu ni PM tuyajenge
 
TBC wametoa tangazo LA ajira wakutaka sifa kama hizi kwa producers, mwisho Jan 23, wahi kabla hawajaanza mchakato. Tangazo limepitia Secretariat ya ajira
 
ha ha ha mkuu kitambo sana ,shukrani sana ,nshaaply ndugu yangu
 
Tumia YouTube kuonesha umahiri wako kama una Ubunifu na ni mtu Wa kujituma kweli. hao unaotafuta kazi kwao watakuja na mikataba wenyewe.
 
Ninauzoefu usiopungua miaka mitatu katika utengenezaji wa vipindi vya televisheni kama vile matukio kama harusi,mikutano,makala na talk shows .
Nina elimu ya chuo kikuu.
Nina weza kushoot events zozote ,kuandika script, kutafta masoko na pia kufanya editing.
kwa yeyote atakeyeona tangazo hili na ana uwezo wa kunisaidia naomba anisaidie nina wadogo wananitegemea, ninamwahidi sintomuangusha.
Ambae atakua tayari anifate inbox nimtumie cv yangu, siwezi weka hapa contacts zangu kwa sababu maalumu.
Nimefurahi sana kukutana na huu uzi wa mwaka 2017. Maisha ni safari na kwayeyote nayeanza maisha sasa usiogope changamoto yoyote. Baada ya miaka takribani 6, nilipataga kazi kwenye moja ya kampuni ya ving'amuzi na nilianza kama intern customer care upande wa digital, kisha nikapata ajira nikawa specialist wa digital tHENsupervisor wa digital na mwisho nikawa Digital Marketing Manager.

Na kipindi chote cha kazi nilijituma sana hadi nilikua nalala ofisini muda mwingine na nikawa antsocial kwa familia na marafiki. Nimesafiri ndani na nje ya nchi kwaajili ya hiyo kazi. Stori yangu ni ndefu nikipata wakati mwinghine nitaisimulia vyema. Sasa hivi najiendeleza kwa Masters na nafanya kwenye kampuni ya kuchezesha kamariyaani Betting.

Na pia najishughulisha na issue za real estate. Nishaziaanza na sasa niko kwenye mchakato wa kufungua kampuni. Ukitaka kununua viwanja, nyumba, unapangisha tafadhali tuwasiliane.

Mawasiliano : 0753288167

Cha mwisho nachoweza sema, ukipata nafasi, fanya kazi kwa bidii kuliko bidii yenyewe na milango itafunguka.
 
Ushuhuda mzuri huu...hongera.

Wengine wamepanda, wengine wameshuka...maisha ni kupambana
 
Back
Top Bottom