tairofrank
New Member
- Aug 29, 2017
- 3
- 2
Naomba mwenye kujua mishahara ya EWURA Kwa nafasi ya mhandisi II (water and sanitation).
January ngumu hii [emoji23][emoji23][emoji23]Endelea kupenda mkuu
Ukikosa majibu hapa, usiogope kuomba kisha kajirushe hukohuko. Kama ni yako ni yako tu..Naomba mwenye kujua mishahara ya EWURA Kwa nafasi ya mhandisi II (water and sanitation).
SawaEndelea kupenda mkuu
Ni nafasi za transfer, wanataka kuhamisha watumishi wa umma kwenda kwenye taasisi yao, ndo maana nilitaka kufahamu hizo details maana kujua masilahi ni muhimu pia maana kazi hata huku nilipo zipo nyingi tuu, Tena unachanganya utaalamu Wako na siasa juu.....Wewe kozi ya mwisho ya kuhusiana na ethics za Engineers umesahau mlivyofundishwa kuhusu salary. Akili yako usiiweke kwenye hela ,zitakuja zenyewe wewe jikite kwenye process Basi. Mana pesa Ni reward mkuu. It takes me time mpaka nikaelewa hii kauli Ina Mana gani. Usiwe unafanya kazi unawaza. Ngoja niache Mana unaweza ukaniona mie Ni mnonk00 fulani.
Sema najua with time lazima utakuja kuielewa hii kauli saivi bado mno unakua. Ni sawa mke mwema Ni tabia sio sura mpaka uje uijue muda umeenda