Nafasi ya kujitolea au kufanya kazi

Nafasi ya kujitolea au kufanya kazi

nshange anatory

New Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
2
Reaction score
0
Mimi nimuhitimu wa kozi ya afya (diploma in pharmaceutical sciences)city college dar es salaam nimemaliza mwaka jana pia nina Leseni ya pharmacy council..nilikuwa naomba either nafasi ya kufanya kazi au kujitolea ili nizidi kuongeza ujuzi akhsante sana
 
Mawasiliano yangu 0776722940 napatikana kigamboni dar es salaam natanguliza shukurani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom