Jeshi la Polisi kwa nini Mmedanganya?

Jeshi la Polisi kwa nini Mmedanganya?

Idofu

Senior Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
127
Reaction score
217
Kwenye tangazo lenu la ajira mlisema kuwa mnataka kuanzia Div 1 mpaka IV!!,Si mngesema tu kipaumbele chenu ni Div III na IV na wale walioko kwenye kambi za JKT ambao wanajitolea?
 
Kwamba div 1 wametemwa?
 
Kuna mtu wa ndani amenipa hizi taarifa!!
 
Division one na two huwezi enda kaka maana cheti cha form four ndo wanakagua asilimia mia
 
Div one na two wangekazana kuendelea na masomo mbeleni wanaweza chaguliwa kwa kigezo cha elimu yao kubwa
 
Kabisa wasome wapate hata Degrees na Masters wanaweza wakawa wakuu wa wilaya wakafanyia watu usaili
 
Kwenye tangazo lenu la ajira mlisema kuwa mnataka kuanzia Div 1 mpaka IV!!,Si mngesema tu kipaumbele chenu ni Div III na IV na wale walioko kwenye kambi za JKT ambao wanajitolea?
Mwenyewe nataka kujua kwa Nini?
 
Back
Top Bottom