Tabibu (Clinical Officer) kubadilishana vituo.

DENAMWE

JF-Expert Member
Dec 29, 2019
807
805
Mimi ni tabibu (Clinical Officer) mwanamke.
Nipo Mbinga Ruvuma.
Nahitaji wa kubadilisha naye vituo.

Awe wilaya yoyote ya Mkoa wa Kagera, wilaya ya Bukombe au Chato mkoa wa Geita au wilaya ya Kahama mkoa wa Shinyanga.
 
Mbinga to kagera lazma unapga ya kujikimu karibia buku 4 nauli ya nenda rudi na wanao.

Kakonko hupataki?
 
Back
Top Bottom