Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi. Wengine wetu walijitolea...
0 Reactions
4 Replies
117 Views
Jukwaa hili limejaa kero na malalamiko ya waajiriwa. Mara huyu hajalipwa fedha za kujikumu halmshauri ya itigi ,mara huyu halmashauri ya mpimbwe mkurugenzi anakula mke wake, nyie waajiriwa ebu...
2 Reactions
11 Replies
132 Views
Anonymous
Poleni na kazi za kuelimisha jamii na hongera pia kwa kuwasemea watu. Mimi nilihitimu degree ya Saikolojia katika elimu mwaka 2023 ( Bachelor of Education in Psychology) chuo kikuu cha Dar es...
10 Reactions
21 Replies
637 Views
Unemployment rates inafanya kazi ya walimu kuwa ngumu.
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Anonymous
Naomba msaada kwa ajili ya dada yangu, ambaye ni mtumishi wa umma kwa sasa. Anapitia hali ngumu sana kiafya na kiutumishi, na hadi leo hajapatiwa msaada unaostahili. Alipata ajali mwaka 2024...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Anonymous
YAH: OMBI LA UFANUZI KUHUSU IDADI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA POLISI TAREHE 22 MEI Mheshimiwa Inspekta Jenerali wa Polisi, Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha ombi hili la ufafanuzi...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Habari za asubuhi JF members. Nisiwachoche, niende moja kwa moja kwenye hoja. November mwaka jana (2025), niliomba kazi Ajira Portal kwa mara yangu ya kwanza. Kazi niliyoomba ni REGISTRATION...
8 Reactions
42 Replies
691 Views
Director General of the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB) wishes to invite qualified Tanzanians to fill vacant posts in District Offices as shown below: 1.0 INVESTIGATION...
14 Reactions
339 Replies
56K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba kuajiriwa nafasi za kazi katika ofisi za TAKUKURU Wilaya kama inavyoonekana hapo...
4 Reactions
66 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naitwa Jofrey Mshobozi Mafuru. Nina uzoefu wa miaka 4+ katika mauzo ya moja kwa moja na huduma kwa wateja. NINI NAWEZA KUFANYIA KAMPUNI YAKO: 1. Kusimamia wateja 200+ 2. Kufikia...
1 Reactions
2 Replies
120 Views
Anonymous (6198)
Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025...
1 Reactions
3 Replies
446 Views
Kuna changamoto kubwa katika ufuatiliaji wa mafao ya PSSF. Kwa nini baadhi ya miezi huonekana kama unremitted wakati mfanyakazi anapochapishiwa Contribution Summary? Mara nyingi unakuta kuna miezi...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Mfumo wa Ajira Portal haueleweki na umekuwa kikwazo katika kutuma maombi ya kazi. Tangu mwaka 2025, ninapojaribu kuingiza NIN yangu, mfumo hunionesha kuwa tayari imeshatumika, hali inayonikwamisha...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Baadhi ya watumishi wanadai kuwa watumishi ajira ya Juni mwaka 2022 waliitwa kwenye kikao na Mkurugenzi wa halmashauri ya Mpimbwe na kuambiwa hawastahili kupanda madaraja yao na kwamba hata...
1 Reactions
7 Replies
202 Views
Anonymous
Watumishi Walimu ajira mpya wananyanyaswa sana katika ngazi ya halmashauri, baadhi ya halmashauri hazilipi hela ya kujikimu kwao, fikiria kaajiriwa toka January ya 2025 hadi sasa hajapewa hela ya...
1 Reactions
10 Replies
305 Views
Anonymous (ca61)
Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utawala na Usimamizi wa Serikali za Mitaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo - Dodoma. Dukuduku langu ni kwamba kila zinapotangazwa nafasi mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
180 Views
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa...
2 Reactions
9 Replies
307 Views
Kuna kijana Ana degree ya mechanical engineering yupo tu nyumbani. Wa kiume, miaka 23. Kazi yoyote atafanya Imuingizie Kakipato kadogo akachukue vyeti vyake na kupata na mtaji pia. Umri miaka...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini. Soma: Ajira Mpya Wilaya ya...
2 Reactions
6 Replies
147 Views
Anonymous (3b46)
Salamu Wakuu wa JamiiForums, Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa...
6 Reactions
20 Replies
353 Views
Back
Top Bottom