Sisi walimu ajira mpya tulioajiriwa Februari na Machi mwaka 2025 katika Wilaya ya Rorya, tuliandika hapa JamiiForums mapema mwezi huu kuwa hatujathibitishwa kazini.
Soma: Ajira Mpya Wilaya ya...
Salamu Wakuu wa JamiiForums,
Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa...
●Biometrical Engineering
Hapa soma diploma tu fanya kazi utapanda daraja kidogo kidogo
●clinical
●Nursing
●health laboratory
●physiotherapy
●Dental therapy and surgeon
●Environmental health...
Mimi ni mtumishi kutoka Halmashauri ya Handeni, sisi Walimu wa Biashara hatujathibitishwa wakati tayari wenzetu tulioingia nao kazini wao tayari... tumereport kazini tangu February 2025 sasa hivi...
Mimi Fundi Sanifu Maabara (Laboratory Technician 1), ni mwajiriwa wa Serikali mwenye uzoefu wa miaka 8 sasa.
Mimi na wenzangu wote tunaofanya kazi chini ya Idara ya Elimu Sekondari Tanzania...
Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote...
Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama...
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Iramba Mkoani Singida, Hospitali ya Wilaya Kiomboi tunakaribia Mwaka sasa hatujalipwa stahiki zetu za Extra Duty na uongozi upo kimya kila tukiuliza tunajibiwa...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunaomba utusikilize sisi wafanyakazi wa Tanzania-Zambia Railway Authority (TAZARA) upande wa Tanzania.
Takribani mwaka sasa hatujalipwa baadhi ya stahiki...
NAFASI ZA KAZI MUHASIBU – WHITE PIT TRADERS
WHITE PIT TRADERS tunatafuta Muhasibu mwenye uzoefu wa kazi ili ajiunge na timu yetu ya biashara.
Mahitaji:
Shahada au diploma ya Uhasibu...
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.
Hii...
TAKUKURU imetangaza nafasi za kazi, nafasi mpya za kazi zilizotangazwa na TAKUKURU zimegawanyika katika makundi mawili:
Kundi la kwanza, Muombaji awe na angalau elimu ya shahada ya kwanza...
Wahitimu wa diploma ya forensic science kutoka UDOM tunapata shida kwenye kuomba ajira kutokana na mpangilio usio sahihi wa category yake, kikawaida forensic science ni Applied/Natural science ila...
Watumishi wa TCS na utumishi Dodoma jiji wanaomba rushwa ili wathibitishe walimu kazini.
Walimu wengi tayari wana mwaka na miezi kadhaa kazini. Mfano walioajiriwa February 2025 hadi leo...
Watumishi wengi wanaotumia kalenda year waliohama halmashauri moja kwenda nyingine kuanzia mwezi wa 10 hadi mwezi wa 12 mwaka jana wamekumbana na changamoto ya kufutika kwa mipangop kazi/majukumu...
Mwenye uzoefu na usaili wa written au aptitude test za TAKUKURU atusaidie jamani tujue zinavyokua, maana wameitwa watu wenye taaluma mbali mbali Sasa ningependa kujua kama mtihani unakua Mmoja kwa...
Mimi ni miongoni mwa watumishi wa ajira mpya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambao tuliajiriwa mwezi wa nane mwaka jana.
Tumekuwa na changamoto ya kupatiwa vitambulisho vya kazi na...
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.