Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Sisi watumishi wa afya tulioajiriwa mwezi Novemba, 2024 katika Halmashauri ya Wilaya ya Siha, Kilimanjaro tunaomba Ofisi ya Waziri Mkuu isimamie suala la kuthibitishwa kwetu kazini, kwani mpaka...
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Jamani na sisi wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa tulioajiriwa mwezi wa tisa 2025 tukaanza kazi Novemba hatujalipwa pesa ya kujikimu had leo hii, tunafuatilia sana lakini wapiii. Yaani...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Anonymous
Ajira Mpya Afya Mkoa wa Kigoma Wilaya ya Uvinza 'intake' ya November 2024 hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, unaenda mwaka wa pili sasa huu.
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Anonymous
Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
YAH: MALALAMIKO YA KUTOLIPWA STAHIKI NA MAZINGIRA MAGUMU YA KAZI – TEMESA KANDA YA ZIWA Sisi watumishi wa TEMESA Kanda ya Ziwa chini ya Wizara ya Ujenzi, tunawasilisha malalamiko yetu rasmi...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Anonymous
Ajira mpya wilaya ya chemba afya tuna mwaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu na hali ya maisha inazidi kuwa ngumu
0 Reactions
3 Replies
119 Views
Anonymous
Sisi Watumishi wa umma wa ajira mpya, katika Halmashauri ya Ngorongoro Mwaka 2026, mpaka hivi leo, hatujalipwa kabisa "fedha ya kujikimu" na hatupewi mrejesho wowote na viongozi wetu. Sasa hata...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Anonymous
Watumishi Halmashauri ya Wilaya Korogwe Vijijini tunagomewa kupewa vibali vya Uhamisho na Mkurugenzi ilihali tumefika vigezo vya zaidi ya miaka mitatu kazini, wengine tuna hadi vyeti vya ndoa...
1 Reactions
0 Replies
102 Views
Anonymous
Watumishi tuliohamishwa toka Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mwaka 2013 (miaka 13 iliyopita) kwenda kuanzisha Halmashauri mpya ya Kaliua, hatujalipwa stahili yetu ya posho ya usumbufu (disturbance...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Anonymous
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba wafanyakazi wa sekta binafsi, hususan katika kampuni ya Lake Lubes pamoja na baadhi ya kampuni zake tanzu. Licha ya agizo la Serikali kuhusu kima cha...
0 Reactions
0 Replies
87 Views
Anonymous
Changamoto ninayopenda kuwasilisha inawahusu baadhi ya watumishi wa umma katika Halmashauri moja mkoani Arusha, ambayo sitapenda kuitaja kwa sasa. Tumekuwa tukikatwa michango ya chama cha...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
  • Redirect
Anonymous
Sisi ni watumishi wapya wa ajira ya mwaka 2025 kada ya ualimu katika Wilaya ya Iramba, Mkoa wa Singida. Tunapenda kuwasilisha changamoto mbili kubwa tunazokutana nazo kazini. Kwanza, tumeingizwa...
0 Reactions
Replies
Views
Anonymous
Sisi watumishi wa ajira mpya mwaka 2025 katika kada ya ualimu, Wilaya ya Iramba, tunapenda kutoa malalamiko yetu kuhusu changamoto kubwa tunazokumbana nazo kazini. Kwanza, tunaingizwa katika...
0 Reactions
1 Replies
183 Views
Habari za Masiku ndg zangu, Leo hii nimekuja na thread maalum kwaajiri ya wasailiwa wote wanaoitwa Utumishi for interview hasa hasa ICT officers becoz ni kada yangu ambayo imenipatia dream job...
19 Reactions
35 Replies
12K Views
Anonymous
Vijana wa kufanya Installation tumezulumiwa malipo yetu, huu unaenda mwaka sasa, na Airtel team imeingilia bila mafanikio zaidi ya ahadi feki. Out Door Unity (ODU) ndio vifaa vya Airtel...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Habari Wapendwa. Natafuta House Manager for Mbweni Karibu House. Kama unamfahamu mtu mwenye uzoefu kwenye sector ya hospitality, awasiliane na karibuhouse.mbweni2026@outlook.com.
1 Reactions
1 Replies
81 Views
Fao la Kukosa Ajira ni faida/msaada wa kifedha unaotolewa kwa mwanachama wa mfuko wa pensheni aliyepoteza ajira kwa sababu zisizo za hiari, kama vile kufukuzwa kazi, kuisha kwa mkataba, au sababu...
23 Reactions
187 Replies
13K Views
Habari wapendwa, Natafuta House Manager for Karibu House Mbweni. Kama unamjua mtu mwenye uzoefu kwenye sector ya hospitality, awasiliane na karibu house mbweni2026@outlook.com.
3 Reactions
0 Replies
116 Views
Anajitajika technician wa printers, Qulification. Awe amesoma IT, au computer engineering au computer sciences. Elimu ya diploma au Degree. Kindly inbox me
0 Reactions
0 Replies
50 Views
Kijana anatafuta kazi ya jikoni yupo na uzoefu wa kutosha. Umri 23 Eneo aliliopo Kibaha Mawasiliano : 0664540696 N.b , anaweza pia kufanya kazi tofauti na ya jikoni , waweza kuwasiliana nae kwa...
1 Reactions
0 Replies
69 Views
Back
Top Bottom