Anahitajika mwalimu wa Literature in English shule ya MUMWANI sec (serikali)
Kwa taarifa rasmi
Mshahara ni laki2 pia makazi yapo.
Kwa anayehitaji au kuna mhusika umamfahamu.tuwasiliane kwa...
Napenda kuwasilisha malalamiko kuhusu yanayoendelea katika Kituo cha Afya Makurumla (zamani Mianzini) kilichopo Mburahati, Dar es Salaam.
Kwanza, kuna changamoto kubwa ya malipo ya overtime kwa...
Ni siku na masaa kadhaa sasa hii changamoto bado inaendea sana na nimejaribu kuwatumia email ila bado hakuna majibu kabisa..
Wenye uzoefu ukitaka kuverify cheti cha form four unatokaje hapa kama...
Je ushawahi kuomba kazi iwe kwenye kampuni,selikari, au secta binafsi na mwisho ukajikuta unafeli mbele ya watu ulichukua hatua gani!
Ilinitokea mwaka 2019 nimetoka zangu veta nikakata lecen ya...
Naomba kuwasilisha malalamiko kuhusu ucheleweshwaji wa mishahara kwa watumishi wa Hospitali ya St. John Paul II iliyopo Kaliua, Tabora.
Kuna madai kwamba watumishi wa hospitali hiyo wamekuwa...
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya wa Februari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, mkoani Dodoma.
Tunaomba msaada wa kufikisha kero yetu kwa mamlaka husika ili suala la malipo yetu lipatiwe ufumbuzi. Hadi...
Waajiriwa wapya wa Wilaya ya Ileje, mkoani Songwe, tunaomba Wizara na viongozi husika kutusaidia ili tulipwe fedha zetu za kujikimu na nauli kwa kiwango kinachostahili.
Tumelipwa kiasi kidogo...
Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba, Ngudu mkoani Mwanza, wafanyakazi wa ajira mpya 2026 bado hatujalipwa posho za kujikimu. Tunaomba mamlaka husika zishughulikie suala hili, na tunawaomba mtusaidie...
TRA tunaomba watusaidie njia mbadala zaidi isiwe email peke yake kwenye kujua matokeo ya kuitwa kazini kwasababu tupo ambao tumepoteza simu na kushindwa kurejesha barua pepe zetu.
Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education).
Natafuta fursa ya kufundisha nchini...
Anahitajika dereva mwenye leseni halali ya udereva na mwenye akaunti ya Bolt, pamoja na uzoefu wa kuendesha Bolt jijini Dar es Salaam.
Gari lililipo ni Toyota, IST linatumia mfumo wa mafuta...
Naitwa Ramadhan Hasheem naishi Kinyerezi, Dar es Salaam. Niko apa kuomba mwenye ajira ya dereva bolt iwe Mkataba au hesabu.
Leseni yangu iko clean na pia nitakuja na barua ya mwenyekiti na...
Habari za muda huu, JF.
Mimi ni mwalimu wa ajira mpya na ninawakilisha walimu wenzangu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Bariadi Vijijini. Tunaomba msaada wako katika kufikisha kero yetu kuhusu...
Walimu zaidi ya 80 tuliopangiwa uhamisho katika Wilaya ya Ngara, Mkoa wa Kagera mwezi Mei 2024, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu na usafirishaji wa mizigo.
Kutokana na hali hiyo...
Manager wa Hotel Kinondoni
Mahahara 500,000
Uzoefu na CV
Supervisor wa Hotel Ubungo
Mshahara 400,000
Uzoefu na Cv
Waitress wa lounge Masaki
Mshahara 190,000
Full accommodation
Waiter(kiume)...
Mpishi wa kiume , awe mzoefu na msafi , kupikia wanafunzi, shule ni mpya , awe tayari kuhamia karibu na Eneo la kazi huko location Msata Pwani, call 0749234577
Bado hatujapata mdada anayejua...
Mshahara 300,000
Vigezo
1-wawe na elimu angalau kidato cha 4 na kuendlea
2-Wawe Na CV angalau ya mauzo au customercare
Wanahitajika wafike ofisini kesho saa3 asubuhi kigamboni Sido
Au watapiga...