Kitu kinachoitwa test au interview si mchezo hata kama umebobea hebu tupeane changamoto

Kitu kinachoitwa test au interview si mchezo hata kama umebobea hebu tupeane changamoto

mr pipa

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
4,287
Reaction score
9,170
Je ushawahi kuomba kazi iwe kwenye kampuni,selikari, au secta binafsi na mwisho ukajikuta unafeli mbele ya watu ulichukua hatua gani!

Ilinitokea mwaka 2019 nimetoka zangu veta nikakata lecen ya kuanzia

Nimekaa kama mwezi nikasikia kuna kampuni imetangaza nafasi za udereva nikasema lazima niwe nikaenda kuomba nafasi, nikapata siku ya test

Naangalia gari zilizopo asee nusu nikimbie, kama unavyojua veta tumezoeshwa gear 6, angalia mtambo gear12 nikasema leo nimepatikana

Gafula tukapangishwa mstari nikajikuta nipo nafasi ya tatu wakitoka jamaa wawili niingie mimi hapo natetemeke sielewi nani nimuulize mifumo

Ikaja zamu yangu nikapanda kwenye gari tekenya chuma ikawaka angalia gear zipo 12 nianzie wapi nikagonga moja chuma ikatoka nikapangua hadi sita

Kuja kupiga tipper nikachemka kila nikijaribu box bord halipandi

Nikaamua kuzima gari na kushuka mwenyewe hapo test feli,

Hapo ikawa kila nikisikia kampuni inatangaza kazi nimo nikafeli, huko huko nikaja bahatika kupata kazi kampuni ya pili
 
Na ni test mkuu tupia tu yako
 
Back
Top Bottom