Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Anonymous
Walimu wa Halmashauri ya Mji Handeni Mkoania Tanga hatujalipwa fedha ya kujikimu na tunafanya kazi kwa mazingira magumu, ujumbe huu ukifika public labda mabosi zetu watatuonea huruma. Ni Kada ya...
0 Reactions
1 Replies
140 Views
Anonymous
Mimi ni mmoja wa watumishi wapya wa VETA, niliyeajiriwa kwenye intake ya mwezi wa 9 mwaka 2025. Tangu nianze kazi, sasa ni takribani miezi mitano imepita bila kupokea fedha ya kujikimu. Hali hii...
2 Reactions
6 Replies
338 Views
Na huu ndo ukweli Mchungu... Silali usiku na mchana nafikiria namna ya kutoka kwenye huu mtego. Yaani asubuhi ya leo niende tena kufanya jambo lile lile mpka nitakapo fika miaka 60. Hapana kwa...
32 Reactions
269 Replies
3K Views
Anonymous (c258)
Mimi kufikisha kero zetu za Watumishi wa Halmashauri kuwa na mishahara midogo sana ambayo haiendani na watumishi wenzetu waliopo kwenye taasisi za kiserikali. Mfano Engineer wa Halmashauri ajira...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Leo nimezidi kuamini kuwa changamoto kubwa kwenye biashara si kupata wateja tu, bali ni kupata watu sahihi wa kufanya nao kazi. Teknolojia, hasa AI, imeanza kuwa mshirika muhimu sana. Ndiyo...
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Ana Miaka 23 Elimu Ya Chuo Sema Ajira Ndo Alikosa. Anatafuta Kazi Ya Duka La Jumla Au Reja Reja Au La Nguo Yupo Dar Manzese Mawasiliano Namna Ya Kumpata 0798461717
0 Reactions
4 Replies
150 Views
Anonymous
Tuliitwa Dodoma kuhudhuria semina elekezi, tukasafiri kwa gharama zetu na tukakaa Dodoma siku tatu kwa gharama zetu na hatukulipwa gharama hizo kama inavyotakiwa kwa mujibu wa kanuni za utumishi...
2 Reactions
6 Replies
260 Views
Anonymous
Walimu wa Ajira Mpya katika Halmashauri ya Geita Manispaa, Walimu Shule ya Msingi tangu Machi na Aprili 2026 tunasotea kuhusu utaratibu wa malipo ya fedha za kujikimu. Wiki iliyopita walimu sita...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Soko la ajira la siku hizi limekuwa la ajabu sana. Unaweza kuwa rejected kwa sababu yoyote isiyo na mashiko. REJECTED. Your current salary is too high — REJECTED. You're over 40 — REJECTED...
8 Reactions
6 Replies
194 Views
Habari, kwa watumishi wa umma ambao wamefanya huduma ya kukopa kwenye mfumo wa ESS naomba kujua ni taasisi gani ya fedha ina marejesho na riba nzuri?
0 Reactions
2 Replies
138 Views
Anonymous
Mimi ni miongoni mwa Walimu wa Ajira ya 2025 Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa tunachangamoto mbili. 1. Fedha ya kujikimu hatujalipwa yote tumelipwa nusu tu nyingine bado mpaka sasa...
1 Reactions
5 Replies
218 Views
Career Opportunities at Waha Oil Company – Reservoir Engineering Department Waha Oil Company – Reservoir Engineering Department is seeking talented professionals to join Waha team and contribute...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Anonymous
Watumishi wa ajira mpya 2025 na 2026 wilaya ya masasi DC mtwara walimu hatujalipwa fedha za kujikimu. Soma Pia: Walimu wa Ajira mpya Wilaya ya Kilosa, Morogoro hatujalipwa fedha za kujikimu
3 Reactions
9 Replies
375 Views
Lubricants Process Chemist Employment Type: Permanent - Full Time About the role: Due to continued growth, Ampol is seeking an additional experienced Chemist. This role will report to the...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi...
2 Reactions
8 Replies
278 Views
Naitwa George ludomya makazi ni Kunduchi, Dar es Salaam. Nimekuja kwenye Jukwaa hili ili kuomba kama kuna mwenye ajira ya dereva Bajaji iwe Mkataba au hesabu. nina leseni iliyokamilika pamoja na...
7 Reactions
15 Replies
196 Views
Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana...
7 Reactions
26 Replies
3K Views
Dereva bajaji kwa mkataba anahitajika 1.Awe anaishi na kufanyia route Kigamboni 2.Awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu 3.Awe na leseni 4.Awe anafanya bolt 5.Awe mchapakazi na mwaminifu...
1 Reactions
2 Replies
280 Views
Wanajiita platinum credit Ikipita siku hawajatoa tangazo la kazi ni bahati sana. Sijajua wana tatizo gani!
1 Reactions
9 Replies
294 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…