Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Habari za muda huu, kwa wale walio wahi kufanya practical interview za utumishi, system administrator na networking please tupeane mwongozo, tupate angalau mwanga kidogo please msaada kujua...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Anonymous
Watumishi wa Idara ya Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Ushetu wanaendelea kukumbwa na ucheleweshaji wa malipo ya fedha za uhamisho. Licha ya kupewa ahadi mara kwa mara kuwa malipo...
0 Reactions
1 Replies
58 Views
Kwa yeyote aliyewahi kufanya practical hususan kwa kada ya ICT (Database administration) naomba utupe mwanga kidogo, Je Inatumika DBMS System ipi? Postgre, SSMS, MySQL nk Je Practical nayo...
0 Reactions
1 Replies
50 Views
Anonymous
Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watumishi wa hospitali ya rufaa ya kanda KCMC na serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,tunaomba kero zetu...
7 Reactions
31 Replies
547 Views
Anonymous
Tunapenda kuwasilisha kero mbalimbali zinazowakabili watumishi wa Wakala wa Mbegu za Kilimo (ASA), ambazo zimekuwa na athari katika ustawi wa watumishi, morali ya kazi na ufanisi wa utekelezaji wa...
2 Reactions
5 Replies
138 Views
1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally...
1 Reactions
2 Replies
65 Views
KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
0 Reactions
1 Replies
60 Views
Niliomba uhamisho bila kuomba vacancy request, lakini katika mlolongo wa mchakato kuna kipengele kilichoonesha: Vacancy Request Not Budgeted / Destination Already Filled – hali hii ilikaa kwa...
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Anonymous
Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
1 Reactions
27 Replies
945 Views
Anonymous
Nimekuwa nikichangia fedha kwenye mfuko wa NSSF kwa zaidi ya miezi 88. Baada ya kuwasilisha madai ya kupata special lumpsum baada ya mkataba wa kazi kumalizika, nilipewa jumla ya kiasi kilekile...
3 Reactions
29 Replies
887 Views
Wajomba, Hivi baada ya ku submit transfer vacancy request katika mfumo wa ess utumishi kinachofuata fuata nini, je wanakujibu kama nafasi IPO au?
3 Reactions
121 Replies
10K Views
Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva, Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language Driving Licence ✅ Cheti (VETA) ✅ National...
3 Reactions
16 Replies
216 Views
Anonymous (cc8c)
Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa...
4 Reactions
23 Replies
696 Views
Baada ya kumaliza chuo tu. 01.Kazi yangu ya kwanza ilikuwa ni receptionist Zanzibar. Niliacha kwasababu niliona ni kazi ya kunyenyekea sana watu, ukiona mzugu umpokee umchekee upokee mabegi meno...
9 Reactions
55 Replies
703 Views
Anonymous
Watumishi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha tunalalamikia kuchelewa kwa malipo ya fedha za likizo, huku baadhi yetu wakiwa hawajapokea stahiki hizo kwa zaidi ya miaka mitatu. Watumishi...
0 Reactions
0 Replies
125 Views
Habari? Kuna mtu yeyote anaweza kunijuza kuhusu kampuni ya Mainland group Agro process co.tz mikataba yao ikoje na process zao za usaili
3 Reactions
10 Replies
167 Views
VACANCY ANNOUNCEMENT CCTV/CONTROL ROOM OPERATORS (25 positions) Industry: Mining Key Responsibilities Monitor CCTV cameras and control room systems. Identify and report suspicious activities and...
1 Reactions
3 Replies
130 Views
Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu. Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi). Kwa kweli...
3 Reactions
15 Replies
209 Views
The Judicial Service Commission has published a new recruitment listing featuring six vacancies across several professional and administrative fields. The opportunities cover accounting and...
0 Reactions
1 Replies
89 Views
UNESCO’s Tanzania careers results contain two Consultant listings in Dar-es-Salaam. Although both use the same official job title and the same consultant contract type, they are separate...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Back
Top Bottom