Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Job Info Job Identification36280 Posting Date08/14/2026, 05:08 PM Apply Before08/28/2026, 04:00 PM Job ScheduleFull time Locations Dar es Salaam, Tanzania GradeG5 Vacancy TypeFixed Term...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Anonymous
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko imesainisha ajira mpya kwa watumishi, huku kukiwa na malalamiko kwamba walioajiriwa wameelezwa kuwa watapokea nusu tu ya fedha walizosaini kwenye mikataba yao ya...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
Ki ukwel watumishi wengi tunapata changamoto kubwa sana hasa wakati wa kutaka kuhama kupitia mfumo wa e-uhamisho kwani unakuta mtu una vigezo vyote vya kuama taasisi moja kwenda nyingine lakini...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Anonymous
Kwa miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la watumishi wanaokaimu nafasi za wakuu wa idara na vitengo mbalimbali katika halmashauri. Hali hii inazua maswali kuhusu utaratibu wa uteuzi na...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Anonymous
Sisi ni Watumishi wa Afya katika Nkaiti Health Center iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire, tunaomba sana msaada wa...
3 Reactions
3 Replies
346 Views
Mimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt) Natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello, I hope mko poa. Mie ni mwalimu wa masomo ya Sayansi nafundisha shule moja ya Secondary hapa mkoani. Nimeajiliwa na serikali, 2 years ago. Sasa katika kutafuta changamoto mpya, nimekuwa...
1 Reactions
13 Replies
270 Views
Anonymous
Changamoto ya salary scale kwenye mashirika yanayofanya kazi sekta binafsi baadhi Yao wanalipa mshahara mdogo ambao hauendani na salary scale iliyowekwa na Serikali na ni ajira za mkataba. Hata...
1 Reactions
2 Replies
107 Views
Wakuu mliopo Dar kijani wenu hapa nilikuwa naomb mwenye connection yoyote ya kazi ya kibarua anisaidie 🙏🙏
1 Reactions
6 Replies
93 Views
Anonymous
Wanafunzi wa Interns KADA zote (MD's, Nurses, Radiographers, etc) Wa BENJAMIN MKAPA HOSPITAL 🏥 hatulipwi pesa zetu za Kila mwezi kwa wakati. Kama wenzetu wa hospital nyingine nchini. Maisha ya...
0 Reactions
5 Replies
149 Views
Habari za Ijumaa! Vijana wengi mnapotafuta kazi mnafanya makosa kusema unatafuta kazi yoyote. Ni ngumu sana mtu kukupa kazi kwa kumwambia unatafuta kazi yoyote. Kwa sababu; 1. Unampa kazi ya...
6 Reactions
5 Replies
141 Views
Anonymous
Habari, nawasilisha malalamiko haya kwa niaba ya watumishi wa Bunda DC. Kwa kawaida, watumishi tumekuwa tukipokea posho za masaa ya ziada kila mwezi, fedha ambazo hutolewa na Hazina kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Anonymous
Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu. Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi...
1 Reactions
10 Replies
316 Views
Kwa sasa kumekuwa na ongezeko la mahitaji ya madereva katika kampuni za usafirishaji, hususan madereva wa malori yanayofanya safari za ndani na nje ya nchi. Hata hivyo, kampuni nyingi zinahitaji...
0 Reactions
0 Replies
42 Views
Naomba kufikisha kilio chetu kuhusu haki ya mafao yetu ya NSSF. Sisi ni wafanyakazi tuliokuwa katika Kituo cha Huduma kwa Wateja (Call Center) cha TANESCO, tulioajiriwa kupitia Kampuni ya EROLINK...
3 Reactions
18 Replies
477 Views
Ukipata changamoto ya kuomba kama kusahau password, email nk tuwasiliane kwa 0792715343
0 Reactions
10 Replies
406 Views
Anonymous (aa39)
Watumishi wa Halmashauri ya Kibaha, haswa walimu hatulipwi fedha za likizo kwa wakati Toka nianze kazi kwenye Halmashauri hii ya Kibaha mpaka Sasa nina nina takribani miaka 18 kazini, lakini...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Location: All Regions, Tanzania Employment Type: Full-Time Department: Sales / Customer Care Reporting To: Shop Team Leader (Administrative) / Contact Experience Manager (Functional) Hiring...
1 Reactions
2 Replies
589 Views
FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED JOB VACANCIES ANNOUNCEMENT FLAMINGO SUPERMARKET LIMITED is a growing retail and distribution company committed to excellence in customer service, ethical business...
1 Reactions
1 Replies
328 Views
Back
Top Bottom