Dada wa kazi anahitajika haraka mjini Moshi

Dada wa kazi anahitajika haraka mjini Moshi

Joined
Jul 19, 2015
Posts
61
Reaction score
4
Natafuta Dada Wa Kazi Aje Kufanya Kazi Kwa Mama Yangu Huku Moshi Kama Uko Tayari Ruka Hewani Fasta
0658665234
0783088759
0764589906

Ahsanteni
 
unampa mkataba wa muda gani na kwa malipo ya sh ngapi mbona ujasema vigezo
 
vipi huyo dada aje na shuka zake au na rangi gani ndio sawa? toa details ya kutosha ili wenye vigezo wakupigie
 
Mbona uko kishimundu mkuu wadada wapo wengi sana
 
Back
Top Bottom