Ajira mpya wa mwaka huu 2026 tuliingiziwa kiasi cha shilingi za kitanzania laki mbili na themanini lakini tangu hapo hatujaona kitu tena huku kinacholeta wasi wasi zaidi tukiuliza wenzetu wa mwaka...
salaam wakuu. Nimefungua akaunti ya ajira portal tangu mwaka jana, taarifa zote muhimu(CV)nimeweka na imekamilika kwa asilimia 98. Changamoto nipale ninapotaka ku apply nafasi za kazi inaniandikia...
Walimu tulioajiriwa na Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu (Kasulu DC) mwezi Julai 2025 bado hatujathibitishwa kazini hadi sasa.
Hatujapewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa uthibitisho...
Nimewahi kufanya kazi katika Taasisi ya Moyo Medicare, Arusha, na niliacha kazi zaidi ya mwaka mmoja uliopita. Hata hivyo, hadi sasa Taasisi hiyo haijawasilisha michango yangu ya NSSF, licha ya...
Mwanzoni mwa mwezi huu niliandika hapa kuwa Wafanyakazi katika Chuo cha Afya Mvumi (Mvumi Institute of Health Sciences – MIHS) kilichopo Mvumi, Dodoma tunaomba msaada na uingiliaji wa mamlaka...
Walimu ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe, tuliporipoti kazini tulikuwa tunaandikishwa barua za kuomba pesa ya kujikimu kiasi cha Sh 130k per month, mara 7 ambayo ni sasa na Sh...
Customer Relationship & Operations Officer at Mixx by Yas – Dar es Salaam
Job Overview
Mixx is hiring a Customer Relationship & Operations Officer based in Dar es Salaam.
Requirements
University...
Nilibahatika kufaulu written interview ya kule sekreatieti ya ajira na nikafanya Oral interview. Lakini hadi sasa sijaiona jina langu kwenye mikeka inayotoka.
Mwalimu wa Primary ngazi ya...
Kwema
Kuna changamoto nimeipata kwangu ni mpya na sielewi niitatue vipi au niende wapi ama napaswa kusubiri.
Ni kuhusu malipo ya mshahara wangu, wenzangu walilipwa mapema kabisa mwezi huu. Mimi...
Kwa walio interested na kuearn real extra income, kuna AI training jobs zinazolipa from $12/hr to 150/hr kulingana na expertise kwenye field husika. Kuna various fields za kila aina mfano law, IT...
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba watumishi wa umma, hususan wa ajira ya mwaka 2015 kada ya elimu katika baadhi ya halmashauri, nikitolea mfano Wilaya ya Lushoto.
Kumekuwa na tatizo la...
Watumishi wapya wa Idara ya Afya walioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge, mkoani Tabora, hatujalipwa fedha zao za kujikimu hadi sasa.
Kila tunapofuatilia malipo yetu...
Nimeona Wizara ya Afya imeanzisha programu za Higher Diploma (NTA Level 7) katika maeneo ya Anaesthesia kupitia MWACHAS, na Midwifery kupitia MUHAS. Hili ni jambo zuri na hatua kubwa katika...
Hello JF,
Natafuta school Nurse, mwenye good recommendation kindly PM me kwa kunitumia CV.
Qualification - Diploma in Nursing and has to be a registered Nurse.
Asanteni.
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa.
Katika hali yangu...
Habari wana forum kwamajina naitwa Hassan Manz ni mkaz wa Dar es salaam naishi Temeke ninatafuta gari aina ya toyota alphard au vellfire kwajili ya kufanyia kazi iwe kwa mkataba au kwa hesabu nipo...
Siku chache zilizopita niliwasilisha taarifa hapa JF kuhusu sisi Wahudumu tuliofanya kazi ya usajili wa majengo kwenye mfumo wa kodi katika Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera mwezi Juni mwaka 2025...
Una taaluma ya kufundisha katika elimu ya juu? Kuna nafasi mpya za Lecturer na Assistant Lecturer zilizotangazwa Morogoro. Hii ni fursa nzuri kwa wataalamu wanaotaka kuendeleza taaluma yao katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.