Hey wajamvini,
Kuna kifaa kinatafuta kazi ktk plants za mining au Oil & Gas field. nje au ndani. Au recuitments au agents ambao ni trusted worldwide atawalipa ili wamfanyie kazi hiyo.
Foward...
Dear JF
Our organisation (one of the UN argency) is urgently looking for two interns from UDSM, DIT or any other college that is offering BSc. Computer science or IT to work with us for four...
Hey,
Nadhani kuna uwezekano kuwa anytime kutakuwa na kazi kwa wabongo kule Buzwagi. Nasema hayo kwa maana makampuni makubwa ya kutangaza kazi yameanza kupost nafasi za juu za kuwapata exparts. So...
Program Director Job Vacancy: TUNAJALI Program
Are you a Public Health Professional who wants to make a difference in
Tanzania?
Today's governments face unprecedented challenges, and...
Wakuu,
Naomba kama kuna mdau anaweza kunijuvya ni wapi naweza kupata power supply kwa ajili ya tarakilishi yangu ya hp dX2000 na hp d230MT. Nimeulizia hapa jijini Dar kwa ma-dealer wa hp lakini...
Wakuu!
Nina rafiki yangu amemaliza IFM mwaka jana na alisoma Advanced Diploma in Accountancy. Kwakweli amejaribu kuomba kazi mbalimbali zilizotangazwa bila mafanikio.
Siyo kuwa anajiamini bila...
Wakuu nimekuwa nikisikia kwa rafaiki yangu mmoja kuwa yeye baada ya kumaliza masomo yake alianza kuandika barua za maombi ya kazi kwa muda wa miaezi sita na kufikia barua 99 bila hata kuitwa...
Kama kawa fungua hapo kama ni professional jaribu kazi hizo, usiogope zinapatikana na zinalipa kishenzi!!
RIGZONE - The Career Center for Oil & Gas Professionals
000
Wookey Hole is currently witchless
A job centre is advertising a "witch" vacancy with tourist site Wookey Hole, in Somerset, for £50,000 a year. The witch, who has to live in the...
Hi guys
Nimekutana na hii dili nafikiri inaweza kuwasaidia baadhi ya wanajamii ambao ni qualified investigators, pathologists, epidemiologists, cancer registrars, behavioural scientists, tobacco...
Working multiple jobs - which is often referred to as moonlighting and dual or multiple jobholding
Why Moonlighting?
People have all sorts of reasons for taking a second job. Some do it as...
Hie, I am a Tanzanian citizen looking for an operations management, quality assurance or mining job in and around Dar, Arusha or Dodoma.
I am currently a Works Operations Shift Manager at the...
kuna mdada kama miaka 22 amemaliza form four tu.
sasa anahitaji msaada wa kazi yoyote ile ya ofisini au hata kama sio ya ofisini kuanzia kutengeneza chai na nyinginezo ambazo zitaendana na elimu...
Job Title: Research Associate and Doctoral Student in Behavioral Economics, Jacobs University Bremen, Germany
The Professor of Behavioral Economics at the Jacobs Center on Lifelong Learning and...
Hello!..
I am a Tanzanian girl looking for a job in any company or organization..
Please help me to find one based in this themes; customer services, Public relations officer, information officer...
Salamu wana JF, ndugu yenu natafuta ajira in HR, nina few years of experience UK- nimesoma MA in HR, pls tusaidiane. Ningependelea zaidi nafasi za Dar - Asante my nduguz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.