Maombi ya Kazi (Ajira) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maombi ya Kazi (Ajira)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Akili Unazo!, Jul 13, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Wakuu nimekuwa nikisikia kwa rafaiki yangu mmoja kuwa yeye baada ya kumaliza masomo yake alianza kuandika barua za maombi ya kazi kwa muda wa miaezi sita na kufikia barua 99 bila hata kuitwa kwenye interview barua ya 100 ndo akaitwa kwenye interview.Je swali ni kwamba kuna format husika ambayo muombaji anatakiwa kuitumia ili kumimmpress mwajiri au inategemeana na kazi husika iliyotangazwa?

  Kama kuna muundo maalum ambao waajiri wanaitaka barua iwe mnaweza niasaaidia sample unakuwa ni mtazammo wa mwajiri juu ya huyu mwombaji au ndo wale wajomba wa kuvutana na networking?
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mkuu kwa tz mambo ni shaghala bagala kila kitu kinakwenda pasipo utaalam wowote….nijuavyo kwa wenzetu majuu na kwingineko cv zinatofautiana na kazi au fani husika…

  …..sasa kwa tz waajiri hawaangaliii cha cv wala nini ni undugunizeshi sana tena ukiwa umesoma vema HR lazima akubeze na kutupwa kapuni ati ur over kwolifaidi..wenzetu majuu lazima wakujibu kwanza kama cv yako imefika na kama utahitajika wkenye interview utaambiwa usipohitajika unaaambiwa pia…
   
 3. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Kwa hapo nakubaliana na wewe tena ukute huyo Hr kasomea administration sijui au ni mtu kaungunga tu kufika hapo yaani sijui HR practice Tz inaenda wapi hakuna code and conducts zake kama watu wa uhasibu ambao wananendana na NBAA
   
 4. Prince Alberto

  Prince Alberto Member

  #4
  Jul 14, 2009
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ebwana kaka katika ulimwengu wa sasa suala la kupata kazi bwana linahitaji vitu kama vifuatavyo kikubwa ni je watu wa aina gani ambao wapo kwenye system tayari ambao wewe unafahamiana nao, kaka ukiwa na watu wazito tu kwenye system basi wewe umeula hata kama haujui kuandika vizuri barua ya maombi,kaka nakuambia hivyo kwa sababu mimi nafahamu watu wengi tu ambao hawana kabisa vigezo vya kifanya kazi fulani lakini unashangaaa wamepata kazi, tena nzuri tu, sasa ukijafuatilia kwa karibu zaidi unakuja kugundua wamewekwa kwenye hizo nafasi. lakini kwa ufupi tu ni kwamba barua ya maombi ya kazi inatakiwa ionyeshe kwa uwazi kabisa uwezo wako wa kufanya kazi yaaani "technical skills of the job" interpersonal skills and these includes self motivation,ability to work in multcultural environment,ability to deliver at maximum capacity, kwa uchache tu kaka hivyo ndivyo vitu vya msingi kabisa vya kuzingatia unapokuwa unaandika barua ya maombi ya kazi,Alamsiki
   
 5. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,818
  Likes Received: 2,530
  Trophy Points: 280
  Nashukuru mkuu kwa maoni yako mazuri.

  ninavyojua barua ya maombi ya kazi hayatakiwi kuzidi page moja labda kama nitakuwa nimekosea plz nisahihishe.

  hayo uliyoyataja si yatajionyesha kwenye interview iwe ya maandishi au ya kuhijiwa?
   
 6. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  kwa kweli integemea na aina ya kazi unayoitaka, lakini kuna kazi wanaitaji CV tu, baada ya kuzipitia hizo Cv, wanakuita kwenye interview, mi nadhani cha muhimu ni kuomba kama kuna mtu anajua formatt nzuri ya kuandika CV bac aiweke humu kwa faida ya watafuta kazi
   
 7. Robweme

  Robweme Senior Member

  #7
  Jul 14, 2009
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 178
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana mkuu;
  Ni kwamba,kuandika barua nyingi si kwasababu ulikuwa ukiandika vibaya.Kwani hii barua ya 100, ulibadilisha nini?.
  Maranyingi unapomaliza shule ni kwamba exeperience ni =0,au sio.Hawa wanaotangaza kazi mara nyingi huwa wanaweka vigezo vyao,ambavyo mara nyingi huwa ni hasa uzoefu wa kazini,ni marachache utakuta mwajili anachukua mtu aliye graduate ili am train mwenyewe,wengi huwa wanakataa.Mimi binafsi nikiangalia CV yangu wakati nimemaliza chuo,nacheka sana,yaani mpaka nashukuru aliyenichukua na kuniajili akiwa wa kwanza.
  Kwahiyo kuandika barua nyingi sio kwamba hujui barua nzuri au CV hujui kuandika,ingawa kuna format za barua ya kuomba kazi na kuna format ya CV.Bahati mbaya hatufahamiani ningeweza kukupatia CV ya kwangu uone, naamini ni nzuri sana.
   
Loading...